Harufu ya perfume yake haitoki puani mwangu

Harufu ya perfume yake haitoki puani mwangu

Wewe mleta mada, wake za watu mnaongoza kuliwa kimasihara. Mumeo ana hasara.

Wanaokurupuka kuoa wana hasara.
Una hasira sana mkuu punguza kidogo..maisha ndo haya Haya usichukulie kila kitu siriazi.

Umekuwa ukiniattack kwa maneno yako ya ajabu kwa muda mrefu kidogo..tafadhali si kila uzi lazima uchangie kwa maneno ya shombo wakati mwingine jaribu kuvaa ustaarabu kwa bahati mbaya.

Sio lazima sna kujiona unamfahamu kila mtu humu ndani ok!!kuna watu tunafahamiana nao mpka na familia zao lakini hukuti sehemu mtu akijimwambafai kuwa anamfahamu.

Punguza makasiriko ndugu yangu.ngoja nikurudishe kwenye block maana ndiko kunakokufaa🥂
 
Habari za jumapili watu wangu nguvu..natumaini mlioenda nyumba za Ibada leo mmetuombea[emoji120]

Jamani sijui ni hii pua yangu inafanya makusudi kuhifadhi hii harufu. ..[emoji848][emoji848]

Mpenzi msomaji siku kadhaa zilizopita nilikuwa kwenye party fulani hivi ya watu tunaofahamiana nao[emoji4]mida ya kuondoka bhana mkaka mmoja hivi (ninafahamiana nae)akaniambia Chakorii huwezi kuondoka kabla sijakuhug ohooo[emoji7][emoji7][emoji7]si akanihug bhna [emoji2296][emoji2296][emoji2296]Harufu aliyoniachia ilinikosesha usingizi jamani[emoji18]mwamba alikuwa ananukia vizuri mamaaaa(aliustua mtima wangu wallahi).

Nikajidai mjeuri kuipotezea harufu yake[emoji18][emoji18]juzi tena bwana kumbe anasafiri(karoho kakaniuma kwa mbali kusikia anasafiri)akanihug tena mara Ohoo take good care of your self Chakorii please [emoji22][emoji22]akaniachia tena harufu ya perfume yake (nyie huyu mjinga ataniuwa kwa hii harufu mjue[emoji1787][emoji1787])

Wapenzi wasomaji tangu juzi mpka sasa perfume bado inazunguka puani hakyamama tena siwafichi[emoji3166]

Taarifa ya kuhuzunisha ni kwamba siijui jina na mwamba hayupo tena[emoji30][emoji30][emoji30]

Bwana asimame vinginevyo hii harufu ya perfume itaenda kuishi katikati ya moyo wangu wallahi nawaambia [emoji3525]
Mwamba unayemzungumzia ni nani au Magufuli?
 
Una hasira sana mkuu punguza kidogo..maisha ndo haya Haya usichukulie kila kitu siriazi.

Umekuwa ukiniattack kwa maneno yako ya ajabu kwa muda mrefu kidogo..tafadhali si kila uzi lazima uchangie kwa maneno ya shombo wakati mwingine jaribu kuvaa ustaarabu kwa bahati mbaya.

Sio lazima sna kujiona unamfahamu kila mtu humu ndani ok!!kuna watu tunafahamiana nao mpka na familia zao lakini hukuti sehemu mtu akijimwambafai kuwa anamfahamu.

Punguza makasiriko ndugu yangu.ngoja nikurudishe kwenye block maana ndiko kunakokufaa🥂
maneno yote hayo ya nini?. Ukweli unauma, imekuchoma ikakupenya ikakuingia ikazama ukaumia. Acha u.ma.la.ya, bata maji wewe.
 
maneno yote hayo ya nini?. Ukweli unauma, imekuchoma ikakupenya ikakuingia ikazama ukaumia. Acha u.ma.la.ya, bata maji wewe.
Kuna ulazima wa haya yote kweli mkuu?
Huko ni kuvunjiana heshima, JF sehem ya kutoa stress.
 
Baby usitumie energy nyingi kwa hilo. Utauchosha ubongo wako kwa kufanya matumizi mabaya ya sukari .
Woi unafikiri nakuwaga na mambo mengi basi babe..akuuu🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️..mimi na makasiriko wapi na wapi kwa mfano akuuu😀😀
 
Back
Top Bottom