Harufu ya perfume yake haitoki puani mwangu

Wewe mleta mada, wake za watu mnaongoza kuliwa kimasihara. Mumeo ana hasara.

Wanaokurupuka kuoa wana hasara.
Una hasira sana mkuu punguza kidogo..maisha ndo haya Haya usichukulie kila kitu siriazi.

Umekuwa ukiniattack kwa maneno yako ya ajabu kwa muda mrefu kidogo..tafadhali si kila uzi lazima uchangie kwa maneno ya shombo wakati mwingine jaribu kuvaa ustaarabu kwa bahati mbaya.

Sio lazima sna kujiona unamfahamu kila mtu humu ndani ok!!kuna watu tunafahamiana nao mpka na familia zao lakini hukuti sehemu mtu akijimwambafai kuwa anamfahamu.

Punguza makasiriko ndugu yangu.ngoja nikurudishe kwenye block maana ndiko kunakokufaa🥂
 
Mwamba unayemzungumzia ni nani au Magufuli?
 
maneno yote hayo ya nini?. Ukweli unauma, imekuchoma ikakupenya ikakuingia ikazama ukaumia. Acha u.ma.la.ya, bata maji wewe.
 
maneno yote hayo ya nini?. Ukweli unauma, imekuchoma ikakupenya ikakuingia ikazama ukaumia. Acha u.ma.la.ya, bata maji wewe.
Kuna ulazima wa haya yote kweli mkuu?
Huko ni kuvunjiana heshima, JF sehem ya kutoa stress.
 
Baby usitumie energy nyingi kwa hilo. Utauchosha ubongo wako kwa kufanya matumizi mabaya ya sukari .
Woi unafikiri nakuwaga na mambo mengi basi babe..akuuu🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️..mimi na makasiriko wapi na wapi kwa mfano akuuu😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…