johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda Serikali ya Tundu Lisu kwenye JAMII forum!Uzuri suala hili linamuhusu Makonda na litachunguzwa na Serikali ya Tundu Antiphas Lissu
Atafatiliwa mpaka kijijiji kwaoLabda ndio maana Mnyika kakimbia kibamba!
HahahahLabda Serikali ya Tundu Lisu kwenye JAMII forum!
Thamani ya mradi uliosainiwa na serikali kuu ni sh bilioni 51 lakini leo waziri Jaffo kasema mradi utagharimu bilioni 71.....hapo ndio Magufuli machale yamemcheza!Variation cost ya bil 1, imekuwa ufisadi wa bil 20?
Hahahaaaa......!