Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kuna mtu nitamuuliza alikuwa anasikiliza radio. Lakini kwa akili ya kawaida Magufuli apigwe bil 20? Mh...Thamani ya mradi uliosainiwa na serikali kuu ni sh bilioni 51 lakini leo waziri Jaffo kasema mradi utagharimu bilioni 71.....hapo ndio Magufuli machale yamemcheza!