Kuna mtu nitamuuliza alikuwa anasikiliza radio. Lakini kwa akili ya kawaida Magufuli apigwe bil 20? Mh...Thamani ya mradi uliosainiwa na serikali kuu ni sh bilioni 51 lakini leo waziri Jaffo kasema mradi utagharimu bilioni 71.....hapo ndio Magufuli machale yamemcheza!
Siasa inafurahisha, serikali tajiri ya Tanzania kuwashitaki wakandarasi kwa rais Lazarus Chakwera wa Jamhuri ya Malawi, walipeni pesa wakandarasi kwa muda muafaka na siyo hizi sarakasi za majukwaani
Mshiki uko na sonona kali sana,mkurugenzi ndio mshika pesa fanya fasta chukua boda ukamuulize hilo swali, mimi ntalipa hela ya boda.
Yani mwaka huu mtatema ulimi meko huko kimara na mbezi hawataki kumsikia pamoja na kujipitisha sana njia hiyo.
Yani majimbo ya Dar mnapigwa spana size zote
.
View attachment 1593754
Mbona mispana mingi sana? Watahimili kweli ...Mshiki uko na sonona kali sana,mkurugenzi ndio mshika pesa fanya fasta chukua boda ukamuulize hilo swali, mimi ntalipa hela ya boda.
Yani mwaka huu mtatema ulimi meko huko kimara na mbezi hawataki kumsikia pamoja na kujipitisha sana njia hiyo.
Yani majimbo ya Dar mnapigwa spana size zote
.
View attachment 1593754
Wale ni sugu,ukitaka utoe kota pini ya baiskeli lazima utumie nyundo na tindoMbona mispana mingi sana? Watahimili kweli ...
Rais wa JF na twitter.Labda Serikali ya Tundu Lisu kwenye JAMII forum!
Daraja kama la Manzese au bondeni kawe ndio sh bilioni 20?!!!!Kama nimemsikia vizuri, bilioni 20 zimeongezeka kwa sababu ya ujenzi wa daraja (flyover) kwa ajili ya kuvukia abiria upande wa pile kwenda kituoni. ambalo halikuwemo katika mpango wa awali. Ndio maana anasema atafuatilia kuona daraja hilo linalojengwa kwa bilioni 20
Hahaha Serikali ya Tundulisu Dunia inavioja Pole sanaUzuri suala hili linamuhusu Makonda na litachunguzwa na Serikali ya Tundu Antiphas Lissu
Jiandaeni tu na makonda wenu. Alivyokuwa akiwapa hela mnakuja kumsifia humu mlijua zinatoka wapi? Mtake msitake. Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas LissuRais wa JF na twitter.
Makamu wa Rais ni Amsterdam ambaye kwa sasa anakaimu ukatibu mkuu wa UN.
Utacheka sana ila jiandae tu!!Hahaha Serikali ya Tundulisu Dunia inavioja Pole sana
Hii serikali iliyomaliza kabisa rushwa imekubalije kupoteza b.20 kipuuzi hivi?Thamani ya mradi uliosainiwa na serikali kuu ni sh bilioni 51 lakini leo waziri Jaffo kasema mradi utagharimu bilioni 71.....hapo ndio Magufuli machale yamemcheza!
AIseee... Huko kwenye halamashauri zenye hati chafu kote wapo CHADEMA?Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani...
Kwani chadema ndio wanaokusanya mapato na kutekeleza miradi?Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani.
Rais Magufuli ameahidi kulichunguza swala hilo na kuchukua hatua stahiki.
Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam ilikuwa inaongozwa na Chadema na baadae CCM.
Ndio kusema wakati mradi unasainiwa meya wa jiji alikuwa Isaya Mwita wa Chadema ambao ndio wasimamizi wa serikali kwenye miradi inayosimamiwa na jiji.
Je, nyongeza hii ya sh bilioni 20 ilikuwa na baraka za baraza la madiwani lililosheheni madiwani wa Chadema?
Maendeleo hayana vyama!
Madiwani ndio wanapanga miradi bwashee!Kwani chadema ndio wanaokusanya mapato na kutekeleza miradi?
Tokea uuze utu wako hapo ufipa basi unafikiri kila mtu anatumika kama wewe.Jiandaeni tu na makonda wenu. Alivyokuwa akiwapa hela mnakuja kumsifia humu mlijua zinatoka wapi?
Mtake msitake. Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu
Hawana pa kushika mkuuAstaghafulahi ! CCM Mpya leo wanadai mradi huu wa Maendeleo ya Vitu sio wa kwao !
Na huo utajiri unaodaiwa ni wa kutisha aliopata Makonda akiwa RC wa Mzizima alicheza bingo?Nahisi upigaji ulifanyika mara baada ya kumuondoa Mwita.