Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Heeeeeeee! Tena zimejaa kutu.Mshiki uko na sonona kali sana,mkurugenzi ndio mshika pesa fanya fasta chukua boda ukamuulize hilo swali, mimi ntalipa hela ya boda.
Yani mwaka huu mtatema ulimi meko huko kimara na mbezi hawataki kumsikia pamoja na kujipitisha sana njia hiyo.
Yani majimbo ya Dar mnapigwa spana size zote
.
View attachment 1593754
Wanaharibu wao na kusingizia wengine. Kweli upeo wao wa kufukii umefikia mwisho. "They are too old to continue living and useful".Labda ndio maana Mnyika kakimbia kibamba!
CCM a.k.a Chama Cha Mazezeta bu Bujibuji, kiifanya figisu mayor Mwita na Mayor Jacob wakaondolewa ili yapige hela za ujenzi wa stendi. Mkataba wa ziada ulisainiwa baada ya hao wawili kuondolewa kwenye nafasi zao! Magufuli amepigwa za uso!Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani...
Kama amekimbia mfungulieni kesiLabda ndio maana Mnyika kakimbia kibamba!
Mtoto wa fisi ni fisiCCM a.k.a Chama Cha Mazezeta bu Bujibuji, kiifanya figisu mayor Mwita na Mayor Jacob wakaondolewa ili yapige hela za ujenzi wa stendi. Mkataba wa ziada ulisainiwa baada ya hao wawili kuondolewa kwenye nafasi zao! Magufuli amepigwa za uso!
HahahahaLabda Serikali ya Tundu Lisu kwenye JAMII forum!
Kwahiyo hapa nani wa kuchunguzwa?Thamani ya mradi uliosainiwa na serikali kuu ni sh bilioni 51 lakini leo waziri Jaffo kasema mradi utagharimu bilioni 71.....hapo ndio Magufuli machale yamemcheza!
Bora ungekaa kimya tu, hapa unaivuwa nguo serikali ya ccm mbele kwa mbele.Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani...
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi mzuri.Nawasalimu wana Jamiiforums
Nimeona ni Busara kutoa ufafanuzi hapa jukwaani na kuweka kumbukumbu sawa katika jambo hili la ujenzi wa stand ya Mbezi Luis, Mradi huo ulikuwa na thamani ya sh 51 billion na mkata huo ulisainiwa mwaka Jana 2019 February, Mradi huu ungepaswa kukamilika July 15, 2020
Sisi jiji tulichangia sh 11.5 (thamani ya Kiwanja) ambayo ni pesa zilizo lipwa kwa wananchi wa hapa mbezi
Malipo hayo yamefanyika kwa phase II
Phase II Malipo yalio lipwa na watangulizi wangu ambao waliwalipa wananchi hao mwaka 1998 - 2000 Zaidi ya sh 3 billion
Phase II Malipo tuliyo yalipai sh 8.7 billion kwa mwaka wa 2018
Mwaka 2018 serikali kwa kupitia wizara yake ya Tami semi walikuja na wazo la Miradi ya kimkakati na kwamba serikali ilikuwa inazipa Halmashauri pesa kwa ajili ya kutekeleza miradi mikubwa ya kijamii na sisi jiji tulinufaika na mpango huu na serikali ilitupa sh 51billion ili kuweza kujenga mradi huu , isipo kuwa fedha hizo zilibaki chini ya uwangalizi wa wizara ya fedha na sisi jiji wajibu wetu mkubwa ulikuwa ni usimamizi tuu ila mlipajii mkuu alibaki kuwa wizara ya fedha
Kama nilivyo sema hapo juu mradi huu ungekamilika July 2020 .... sasa kabla ya muda huo kutimia tayari mimi nilikwisha ondolewa ofisini na sikujua nini kilisababisha mrad huoi kutokamilika kwa Muda .. Nafikiri kwamba watumishi wetu wa jiji pamoja na wizara ya fedha wanaweza kuwa na majibu mazuri katika jambo hili
Pia ndugu zangu ni vizuri mkajua ni kwanini miradi mingi ya serikali hupata variation ... sababu kubwa ziko wazi kabisa...
Ni aibu kwa magu kwamba ufisadi unafanyika hata baada ya kujitapa kuwa atamaliza ufisadi.Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani.
Rais Magufuli ameahidi kulichunguza swala hilo na kuchukua hatua stahiki.
Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam ilikuwa inaongozwa na Chadema na baadae CCM.
Ndio kusema wakati mradi unasainiwa meya wa jiji alikuwa Isaya Mwita wa Chadema ambao ndio wasimamizi wa serikali kwenye miradi inayosimamiwa na jiji.
Je, nyongeza hii ya sh bilioni 20 ilikuwa na baraka za baraza la madiwani lililosheheni madiwani wa Chadema?
Maendeleo hayana vyama!
Mkurugenzi alimuondoa Boniface Jacob kwenye umeya baada ya meya Jacob kushtukia huo wizi. Meya alilalamika sana kuhusu huo wizi lakini Maccm mlishangilia Jacob kiondolewa.Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani...