Harufu ya vita kuu ya 3 ya dunia inanukia. Umejipangaje wewe kama wewe? Mimi nimejipanga hivi!

Harufu ya vita kuu ya 3 ya dunia inanukia. Umejipangaje wewe kama wewe? Mimi nimejipanga hivi!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
👉Mimi Binafsi nimejipanga Kula papuchi nyingi FRESH kwa kadri nitakavyo weza. Why & HOW? 👇

👉Effect za vita zitaiathiri dunia nzima.

👉Kwenye suala la uchumi hali itakuwa kama korona vile.

👉Umasikini utaongezeka maradufu.

👉Mabinti hawatakuwa na kimbilio zaidi ya kujisalimisha kwa akina Likud @ Company.

👉Na Mimi sintokataa. Nitawakaribisha kwa Mikono miwili.

👉Mimi nimeletwa duniani kwa ajili ya kustarehe.

👉NDIO maana kila siku ninaitafuta starehe mahali popote pale ilipo.

👉Maana asili yetu sisi wanadamu ni starehe.

👉Bila starehe hakuna binadamu angezaliwa.

👉Hata Mungu alistarehe baada ya kumaliza kazi ya uumbaji.

👉Kiutani utani hivi hivi inaweza kutokea vita kuu ya 3 kweli.

👉Au hata isipotokea basi italeta athari kubwa sana na kubadilisha mfumo wa maisha juu chini.

( KILAZA ANAJIULIZA JE MIMI VITA HAITONIATHIRI KIUCHUMI?)
Jibu ni : 👇👇👇👇👇👇

Haitaniathiri kwa sababu sikwenda kukariri shule kama wewe. Nimejifundisha maarifa halisi kuhusu maisha halisi. Moja wapo ni namna ya kusurvive na kuthrive kwenye nyakati ngumu kama nyakati za vita. Nimejifunza kuhusu principles za military science. Fundisho la miaka 7 ya njaa na miaka saba ya neema kupitia story ya Yusufu ninaliishi kwa vitendo. Na Sisubiri mpaka nioteshwe ndoto. Ninachukua hatua wakati wote nyakati zote)

TUFANYE NINI SASA EEH RABBI?

Toeni watoto wenu kwenye shule za EM, warudisheni Kayumba haraka sana ( Hii inawahusu wale watanzania vilaza wanao jistress kulipa mamilioni kwenye shule za EM huku wakisahau kufanya mambo mengine ya kimaendeleo kama vile kujenga nyumba, kufanya uwekezaji halisi kwenye mali halisi etc)

Watoe haraka sana. Nenda sasa hivi. Usitembee. Kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukistuka inuka vumilia".

Hiyo pesa wekeza. Weka akiba. Itakusaidia wakati wa shida.

Nakuacha na andiko👇👇

" Cast the bread upon the waters, For thou shall find it after many days.

Give a serving to seven and also to eight. For thou shall not know what evil shall be upon the earth.

If the clouds be full of rain, they empty themselves upon the waters.

And the tree faleth towards the South or towards the north in the place where the trees falleth. There it shall be"

( Ecclesiastes 11👆) (MHUBIRI 11 )

Thank me later 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Vita ya wakubwa wa dunia huwaga ina athiri uchumi wa dunia nzima.
Sisi wana science tumesha tengeneza vyombo vyetu vya kutupeleka Sayari nyingine hadi mmalize vita yenu ndiyo na sisi tutarudi kwenye sayari yenu chafu!!
 
Tunapaswa kuwakemea hawa wajinga wanaohamasisha vita,Umoja wa Mataifa ungekuwa unaongozwa na Binadamu,basi wangekuwa wanayashurutisha haya mataifa ambayo kila kukicha ni wao tu na vita, vita na wao,utafikiri shetani alizaliwa kwao.
Ila ndo maana hata vitabu vya dini vinawahusu sana wao,kumbe Mungu aliojua kabisa tatizo la dunia lipo wapi.
 
Point to note, Watu (Africa) waweke akiba sasa anything can happen muda wowote kuanzia sasa.
 
Back
Top Bottom