Haruna Niyonzima asajiliwa tena Yanga

Haruna Niyonzima asajiliwa tena Yanga

Tusifanye Mambo kuwa mengi Ila usingekuwa utawala huu wa awamu ya tano Kuna watu wengi wana mapenzi na Yanga na wenye pesa zao sema tu wanaogopa kujitokeza wazi yasije kuwakuta Kama ya Manji.
 
Acha kabisa. Yaani saa hii viroho vinawadunda tu huko huku vikitamka "january nne" "january nne" "january nne" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Amiin Insha Allah. Naamini patachimbika Mtani. [emoji126][emoji126]
Naam, kuchimbika lazima

MTC | 101| [emoji769]
 
hayo ni yao..ila ukweli ndo huo.niyonzima hajasajiliwa na yanga Bali GSM.
kwa hyo mishahara yake haitoki yanga.
Inatoka kwa GSM.
Hata kama mishahara ya wachezaji wa yanga itachelewa yeye hausiki.
Una izungumzia hii GSM iliyoshindwa tekeleza ahadi yake ya kutoa million 300 iliyozihadi siku ya kubwa kuliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu nae inaonekana kwao ni shida tupu Yanga ilimtema Simba ikamwokota mayo ikamtema,leo karudi huku anajua kuna wachezaji wanakimbia mishahara hawajalipwa,Kocha zahera anadai yeye nae anajichomeka

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie Simba mna maneno sana...Vipi kuhusu Okwi???!!! Sasa mlitakaje....Ngojeni Januari 4 mvunje viti kwa mara nyingine uwanja wa taifa...kila dalili zipo...mnadhani nyie mna klabu na timu bora...mmejaa kiburi, majigambo na majivuno...subirini yawakute...
 
Back
Top Bottom