Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezaji Yule namuaminia sina hofu nae ,atawasaidiaKabakia Mtani. Na anajitahidi kuzowea zowea.
Japo nilijua atasepa na Papaa.
Naam, kuchimbika lazimaAcha kabisa. Yaani saa hii viroho vinawadunda tu huko huku vikitamka "january nne" "january nne" "january nne" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amiin Insha Allah. Naamini patachimbika Mtani. [emoji126][emoji126]
Una izungumzia hii GSM iliyoshindwa tekeleza ahadi yake ya kutoa million 300 iliyozihadi siku ya kubwa kuliko.
Ndiyo✔✔✔✅🔊🔊Haki 🤔🤔🤔
Huyu nae inaonekana kwao ni shida tupu Yanga ilimtema Simba ikamwokota mayo ikamtema,leo karudi huku anajua kuna wachezaji wanakimbia mishahara hawajalipwa,Kocha zahera anadai yeye nae anajichomeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda sana watu kama nyie. Always thinking outside the box.Tumaini The Genius inawezekana akawa mpelelezi maana yeye pamoja na okwiii emanuel aiseee