Haruna Niyonzima Simba SC

Haruna Niyonzima Simba SC

KWA WAPENZI WA MPIRA

Mechi za leo

1. Yanga Vs Msamvu United
Uwanja: Shule ya msingi Kibindu
Muda: saa 10.00 jioni

2. Simba vs Orlando Pirates
Uwanja-Orlando Johannesburg
Muda-10.00 jioni

Nawatumia link ya kuangalia mechi hiyo ya pili na namba ya mwalimu Mkuu wa Sule ya Msingi Kibindu kwa ajili ya kuulizia matokeo ya mechi hiyo ya kwanza.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
MATOKEO : ORLANDO PIRATES VS SIMBA 1 AGOSTI 2017 (1.8.2017)

HALF TIME
orlando Pirates 1 - 0 Simba
Like Ukurasa wetu Hapo Chini kama Bado Bonyeza Like Button

FULL TIME
orlando Pirates 1 - 0 Simba

Source: MATOKEO : ORLANDO PIRATES VS SIMBA 1 AGOSTI 2017 (1.8.2017) - KWATA UNIT BLOG
 
KWA WAPENZI WA MPIRA

Mechi za leo

1. Yanga Vs Msamvu United
Uwanja: Shule ya msingi Kibindu
Muda: saa 10.00 jioni

2. Simba vs Orlando Pirates
Uwanja-Orlando Johannesburg
Muda-10.00 jioni

Nawatumia link ya kuangalia mechi hiyo ya pili na namba ya mwalimu Mkuu wa Sule ya Msingi Kibindu kwa ajili ya kuulizia matokeo ya mechi hiyo ya kwanza.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
56fedf89aa7aead63b25fc36d35c443c.jpg

Ukijumlisha na 1 la leo dhidi ya madereva taxi wa orlando,zinakuwa 8,ambazo mtazisheherekea siku ya sikukuu ya 8-8 pale taifa
 
56fedf89aa7aead63b25fc36d35c443c.jpg

Ukijumlisha na 1 la leo dhidi ya madereva taxi wa orlando,zinakuwa 8,ambazo mtazisheherekea siku ya sikukuu ya 8-8 pale taifa
Hahahaha Yanga toka mmefahamu Adobe Photoshop imekuwa shida duniani

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Usidanganyike, Yanga haiwezi kucheza na timu ya mchangani.
Nyie wenyewe wa mchangani tuu......mmebakia na msemo wa enzi zake "dingi alikuwa na uwezo"

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Kwani Niunzima kaikimbia Yanga au Yanga imeshindwana nae? Ukimuacha hawara an haki ya kutembea na mtu mwingine,ila tambua mahawara hawaachani,wanatengana.Usubiri tu siku kusalitiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri ligi ianze keshokutwa...mtanyamaza tu.
 
Hii Simba ya Niyonzima na Kotei pale katikati, kushoto Okwi, kulia kichuya katikati Boko, Mavugo.
Sijui..
Tunaomba Amblance nyingi kwenye mechi na watani watano.
 
5609d31eed75f388abe35035df0b27eb.jpg
na hii utasema adobe,au na ww ni mmoja wa mnaosubiria zile point za fifa!
Mm sijasema hiyo mechi ya Simba Vs Orlando Pirates ni Adobe maana hata msemaji wa Simba alitoa taarifa juu ya hiyo mechi......nacho ongelea ni ule upuuzi wa Royal Eagles.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Back
Top Bottom