Furaha Mwazembe
Member
- Jun 10, 2013
- 7
- 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MATOKEO : ORLANDO PIRATES VS SIMBA 1 AGOSTI 2017 (1.8.2017)KWA WAPENZI WA MPIRA
Mechi za leo
1. Yanga Vs Msamvu United
Uwanja: Shule ya msingi Kibindu
Muda: saa 10.00 jioni
2. Simba vs Orlando Pirates
Uwanja-Orlando Johannesburg
Muda-10.00 jioni
Nawatumia link ya kuangalia mechi hiyo ya pili na namba ya mwalimu Mkuu wa Sule ya Msingi Kibindu kwa ajili ya kuulizia matokeo ya mechi hiyo ya kwanza.
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
Leta na ya Yanga pls.MATOKEO : ORLANDO PIRATES VS SIMBA 1 AGOSTI 2017 (1.8.2017)
HALF TIME
orlando Pirates 1 - 0 Simba
Like Ukurasa wetu Hapo Chini kama Bado Bonyeza Like Button
FULL TIME
orlando Pirates 1 - 0 Simba
Source: MATOKEO : ORLANDO PIRATES VS SIMBA 1 AGOSTI 2017 (1.8.2017) - KWATA UNIT BLOG
Usidanganyike, Yanga haiwezi kucheza na timu ya mchangani.Leta na ya Yanga pls.
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
KWA WAPENZI WA MPIRA
Mechi za leo
1. Yanga Vs Msamvu United
Uwanja: Shule ya msingi Kibindu
Muda: saa 10.00 jioni
2. Simba vs Orlando Pirates
Uwanja-Orlando Johannesburg
Muda-10.00 jioni
Nawatumia link ya kuangalia mechi hiyo ya pili na namba ya mwalimu Mkuu wa Sule ya Msingi Kibindu kwa ajili ya kuulizia matokeo ya mechi hiyo ya kwanza.
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
Hahahaha Yanga toka mmefahamu Adobe Photoshop imekuwa shida duniani![]()
Ukijumlisha na 1 la leo dhidi ya madereva taxi wa orlando,zinakuwa 8,ambazo mtazisheherekea siku ya sikukuu ya 8-8 pale taifa
Nyie wenyewe wa mchangani tuu......mmebakia na msemo wa enzi zake "dingi alikuwa na uwezo"Usidanganyike, Yanga haiwezi kucheza na timu ya mchangani.
Hahahaha Yanga toka mmefahamu Adobe Photoshop imekuwa shida duniani
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
Acha wivu wa kikeMbona inaonekana kama Simba wanambembeleza sana Niyonzima? Maana tumeshuhudia wenzake wakimalizana kimaslahi na Simba wanawahi South Africa kuungana na wenzao. Yeye hata mazoezi hajafanya anaambiwa atacheza Simba Day! Asije akaigawa timu! Hii ni hatari kwa kweli.
Kimepenya hicho dadadekiWamejaza majina tu,mwisho wa msimu ujao Yanga bingwa tena,watani wajiandae kwenda UN safari hii,maana FIFA washawachoka
Kapige picha wewe ulete unataka kila kitu upewe?Hamna picha = propaganda
Canavaro, tambwe, goma, yondani vip??Hata Ulaya mchezaji akichoka anaenda china au Marekani kula pensheni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafuu kuliko Niyonzima,Erasto Nyoni,Bocco,Okwi na Mwanjali.Tusubiri ligi ianze keshokutwa...mtanyamaza tu.
Sizitaki mbivu hizi, hilo jeshi linatamkika kirahisi namna hii..
Ana maanisha umri umepunguzwa. Ni kama mchezaji mmoja alikuwa anaitwa Nsa Jobu, yaani kila mwaka yeye alikuwa ana umri wa miaka 23Kwamba Ajibu sio mzuri?
Mm sijasema hiyo mechi ya Simba Vs Orlando Pirates ni Adobe maana hata msemaji wa Simba alitoa taarifa juu ya hiyo mechi......nacho ongelea ni ule upuuzi wa Royal Eagles.na hii utasema adobe,au na ww ni mmoja wa mnaosubiria zile point za fifa!![]()