Haruna Niyonzima Simba SC

Haruna Niyonzima Simba SC

Kama umri ndio kigezo cha kiwango, basi golikipa mpya wa Yanga kutoka Serengeti Boys, Ramadhan Kabwili ni bora kuliko Aishi Manula wa Simba. Pia Malimi Busungu ni bora kuliko mkongwe Amisi Tambwe
Ni kweli Kabwili ni bora amecheza AFCON..Manula hadi anakufa hawezi kucheza kwa timu hii ya Mayanga
 
Ni kweli Kabwili ni bora amecheza AFCON..Manula hadi anakufa hawezi kucheza kwa timu hii ya Mayanga
AFCON ipi tena Tanzania tuliyoshiriki, unazungumzia hii AFCON ya akina Yaya Toure, Asamoah Gyan, Benjamin Moukandjou, Dieumerci Mbokani na Victor Moses?
 
Huyo Niyonzima ilikuwa ajiunge na Simba kule South Africa. Sasa story imebadilika. Atajiunga nao huko Kigali. Tusubiri episode nyingine. Utakujasikia atajiunga nao wakirudi Dar. Ikifika hapo mjue ndiyo imetoka hiyo!
 
Mkamval
IMG_20170803_225851_343.jpg
ishe hayomadira
 
Back
Top Bottom