CaptainDunga
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 1,572
- 1,379
Nafuu yake mini au wenyewe wanakula FAO la kujitoa wakati Niyonzima anakula FAO la uzeeni?
Kuna timu iliyojaza wazee kama Yanga?
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafuu yake mini au wenyewe wanakula FAO la kujitoa wakati Niyonzima anakula FAO la uzeeni?
Ni kweli Kabwili ni bora amecheza AFCON..Manula hadi anakufa hawezi kucheza kwa timu hii ya MayangaKama umri ndio kigezo cha kiwango, basi golikipa mpya wa Yanga kutoka Serengeti Boys, Ramadhan Kabwili ni bora kuliko Aishi Manula wa Simba. Pia Malimi Busungu ni bora kuliko mkongwe Amisi Tambwe
AFCON ipi tena Tanzania tuliyoshiriki, unazungumzia hii AFCON ya akina Yaya Toure, Asamoah Gyan, Benjamin Moukandjou, Dieumerci Mbokani na Victor Moses?Ni kweli Kabwili ni bora amecheza AFCON..Manula hadi anakufa hawezi kucheza kwa timu hii ya Mayanga