Harusi hiyoo, harusi hiyooo harusi imeshatimiaaa....!!!!

hahaha we unataka kunikosanisha na mume mtarajiwa !hujui wanaume siku hiz adimu !nenda love connect uone tunavyopigana vikumbo !hebu niachie serengeti wangu jaman ! akighairi mie unahis nan wa kuniweka ndani!!!!!!!!
Akighairi tuu imekula kwake mazima, nakuoa mimi hapa
 
hahaha we unataka kunikosanisha na mume mtarajiwa !hujui wanaume siku hiz adimu !nenda love connect uone tunavyopigana vikumbo !hebu niachie serengeti wangu jaman ! akighairi mie unahis nan wa kuniweka ndani!!!!!!!!
Tena mwambie huyo jamaa akukome maana akiendelea nitamulissu mda si mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli magonjwa ni mengi lakin huon kuwa miss natafuta analazimisha niwaoe wote kwakua et ni nyie ni mabest

Sent using Jamii Forums mobile app


bas tuoe wote tu ! ia mie niwe mke mkubwa!nunua radio 2!kila mtu na cd zake za taarabu !tyutashea sebule maana navyomsomaga ni msafi hatanipa shida !deki kwa zamu ,room kila mtu yake,toilet tutashea,teh
 
Mmh hivi Don ana undugu na kina nshomile au ni mutu ya Congo?


umeona eh !yaanhuyu ni shida jaman huwa ananichekesha sana jaman ! sema huyu ukitaka uenjoy nae muwe wote viwanja ! yaan uvae upendezeeee muende sehem classic atakuagizia mambo makubwa na magumu usiyoyajua!

unaingia kwenye brevis kitu ac hatar had kinywa kinafreezeee hehehe! mkonon umeshikishwa kinywaj expensive aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee those yrs
 
Akighairi tuu imekula kwake mazima, nakuoa mimi hapa


una vigezo mkuu >? mie sitak mwanaume maskini jaman! usiniombe hata kumi yangu!nataka kumalizia uzee nikiwa na maisha mazuriiiii!

bas ninunuie unyayo mzuriiiiii ! teh teh navyopyenda viatu sasa
 
Haha eti mambo makubwa na magumu usiyoyajua lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…