Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,871
- 1,237
naafuta unajua kuwa identity yako inafahamika.sijawa jamvi kama mama yako alivo kahaba aisee hivi alishakuambia baba yako ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naafuta unajua kuwa identity yako inafahamika.sijawa jamvi kama mama yako alivo kahaba aisee hivi alishakuambia baba yako ni nani?
Kisukuma inaruhusiwa kuoa wanawake wawili lakin kidin haiko hivyo labda uwe bi mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi basi, Napunguza machungu unajua inaumiza
Akighairi tuu imekula kwake mazima, nakuoa mimi hapahahaha we unataka kunikosanisha na mume mtarajiwa !hujui wanaume siku hiz adimu !nenda love connect uone tunavyopigana vikumbo !hebu niachie serengeti wangu jaman ! akighairi mie unahis nan wa kuniweka ndani!!!!!!!!
hahahahahaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaa mama weeeee mie nakufa jaman !khaa shoga@heavensent njoo umuone huyu mkaka na mashauzi yake jaman !nimechekasana jaman
toka kitambo nakwambiaga kuwa nyota yangu inawaka ile mbaya hebu soma post yake namba 28 uone kasemaje
Kwan hutak mbiti awe shem wakoMkuu watu wako wa karibu hao wamenipa habari hizi za kunisononesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli magonjwa ni mengi lakin huon kuwa miss natafuta analazimisha niwaoe wote kwakua et ni nyie ni mabestMume na magionjwa yanayowaandama wanaume sasa hv utatuweza kwell uoe wake wawili jaman! maana Miss Natafuta damu inatokota ! mie nami nang'ang'ana na ujana ingawa umri ushanitupa !je utatuweza
Tena mwambie huyo jamaa akukome maana akiendelea nitamulissu mda si mrefuhahaha we unataka kunikosanisha na mume mtarajiwa !hujui wanaume siku hiz adimu !nenda love connect uone tunavyopigana vikumbo !hebu niachie serengeti wangu jaman ! akighairi mie unahis nan wa kuniweka ndani!!!!!!!!
Pambana na hal yako kiongozAkighairi tuu imekula kwake mazima, nakuoa mimi hapa
Tena mwambie huyo jamaa akukome maana akiendelea nitamulissu mda si mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli magonjwa ni mengi lakin huon kuwa miss natafuta analazimisha niwaoe wote kwakua et ni nyie ni mabest
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh hivi Don ana undugu na kina nshomile au ni mutu ya Congo?
Hapana wanawake wawili siwez ngoja tu miss natafuta apambane na hal yakebas tuoe wote tu ! ia mie niwe mke mkubwa!nunua radio 2!kila mtu na cd zake za taarabu !tyutashea sebule maana navyomsomaga ni msafi hatanipa shida !deki kwa zamu ,room kila mtu yake,toilet tutashea,teh
Akighairi tuu imekula kwake mazima, nakuoa mimi hapa
Haha eti mambo makubwa na magumu usiyoyajua lolumeona eh !yaanhuyu ni shida jaman huwa ananichekesha sana jaman ! sema huyu ukitaka uenjoy nae muwe wote viwanja ! yaan uvae upendezeeee muende sehem classic atakuagizia mambo makubwa na magumu usiyoyajua!
unaingia kwenye brevis kitu ac hatar had kinywa kinafreezeee hehehe! mkonon umeshikishwa kinywaj expensive aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee those yrs
Haha eti mambo makubwa na magumu usiyoyajua lol
Teh uwe hujazoea vitu "classic", utajiju na mabalimi yako.hahah sipatii picha mwanamke wake na hayo mashauzi jaman maana unajikuta unasweat tu lo