donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
-
- #81
Hahaha, nafurahi unaongeza siku za kuishihahahahahaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaa mama weeeee mie nakufa jaman !khaa shoga@heavensent njoo umuone huyu mkaka na mashauzi yake jaman !nimechekasana jaman
Mi na kwambia nahisi wakwe wanaweza wakanipa nyongeza ya wadogo na dada zake mtusipatii picha donlucchese siku unaenda kujitambulisha ukweni hahha hayo mashauzi jaman !nadhan tai utanunua NAI!
Mi na kwambia nahisi wakwe wanaweza wakanipa nyongeza ya wadogo na dada zake mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Am not so sure mkuu about my background ila jina la ukoo ni 'Katumbi' sa sijui ndio wale kina Moise katumbi?Mmh hivi Don ana undugu na kina nshomile au ni mutu ya Congo?
Am not so sure mkuu about my background ila jina la ukoo ni 'Katumbi' sa sijui ndio wale kina Moise katumbi?
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Yaan kama muvi uliyoniactia ndio,pamoja nakunitumia dedc. Ya wimbo wa Cazy T na Sara - 'nakuhitajiiii''.......lucchese wangu nakuhitajiiii...nnn(unaniita?)ashanikoma !nishamuactia movie
Daaah yaan mkuu Brevis kweli? Ntake radhi mama, sitaki mambo yakuingia ndani ya gari, mimi nina panda ndani ya gari. Kwa mfano, mwenye brevis anaingia ndani ya gari ila mwenye fortuner,prado etc. Huyo anapanda gari. Haya ndiyo mambo yetu mamaumeona eh !yaanhuyu ni shida jaman huwa ananichekesha sana jaman ! sema huyu ukitaka uenjoy nae muwe wote viwanja ! yaan uvae upendezeeee muende sehem classic atakuagizia mambo makubwa na magumu usiyoyajua!
unaingia kwenye brevis kitu ac hatar had kinywa kinafreezeee hehehe! mkonon umeshikishwa kinywaj expensive aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee those yrs
Yaan kama muvi uliyoniactia ndio,pamoja nakunitumia dedc. Ya wimbo wa Cazy T na Sara - 'nakuhitajiiii''.......lucchese wangu nakuhitajiiii...nnn(unaniita?)
Isaga wangu uule.....NANGWISA!!!''
Basi sawa!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ametamani bata mpaka automatically amequote Jeremy 33:3Haha eti mambo makubwa na magumu usiyoyajua lol
Mkuu usitaje vitu vyenye najisi kama hivyo hadharani. Balimi? Mweh!Teh uwe hujazoea vitu "classic", utajiju na mabalimi yako.
Daaah yaan mkuu Brevis kweli? Ntake radhi mama, sitaki mambo yakuingia ndani ya gari, mimi nina panda ndani ya gari. Kwa mfano, mwenye brevis anaingia ndani ya gari ila mwenye fortuner,prado etc. Huyo anapanda gari. Haya ndiyo mambo yetu mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaenjoy the convo tu mkuu, nothing seriousis it TRUE au ni CHANGAMSHA GENGE??
Disgusting le mush[emoji13] [emoji13] [emoji90] [emoji90] [emoji90]teh teh nimemis bata kwakweli !
Hahaha, zilipendwa (sina team jamani)hahahah dah umenikumbusha CAZ T jaman nakumbuka enzi hiz tupo boardn kila msichana bwenini anampenda caz t !hehehehe! mkaka alikua mtraam
Hahahaa et kuingia ndani ya gar na kupanda ndan ya gar jamaa una matus sana next week tukutane hapo kwa remy nione kweli kama utapanda ndan ya gar au utaingia dan ya garDaaah yaan mkuu Brevis kweli? Ntake radhi mama, sitaki mambo yakuingia ndani ya gari, mimi nina panda ndani ya gari. Kwa mfano, mwenye brevis anaingia ndani ya gari ila mwenye fortuner,prado etc. Huyo anapanda gari. Haya ndiyo mambo yetu mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah, hain noma chief.Hahahaa et kuingia ndani ya gar na kupanda ndan ya gar jamaa una matus sana next week tukutane hapo kwa remy nione kweli kama utapanda ndan ya gar au utaingia dan ya gar
Sent using Jamii Forums mobile app
Heaven Sent njoo umchukue mdog wako le don himself hehehe ! haya bows!