Harusi hiyoo, harusi hiyooo harusi imeshatimiaaa....!!!!

Harusi hiyoo, harusi hiyooo harusi imeshatimiaaa....!!!!

umeona eh !yaanhuyu ni shida jaman huwa ananichekesha sana jaman ! sema huyu ukitaka uenjoy nae muwe wote viwanja ! yaan uvae upendezeeee muende sehem classic atakuagizia mambo makubwa na magumu usiyoyajua!

unaingia kwenye brevis kitu ac hatar had kinywa kinafreezeee hehehe! mkonon umeshikishwa kinywaj expensive aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee those yrs
Daaah yaan mkuu Brevis kweli? Ntake radhi mama, sitaki mambo yakuingia ndani ya gari, mimi nina panda ndani ya gari. Kwa mfano, mwenye brevis anaingia ndani ya gari ila mwenye fortuner,prado etc. Huyo anapanda gari. Haya ndiyo mambo yetu mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan kama muvi uliyoniactia ndio,pamoja nakunitumia dedc. Ya wimbo wa Cazy T na Sara - 'nakuhitajiiii''.......lucchese wangu nakuhitajiiii...nnn(unaniita?)
Isaga wangu uule.....NANGWISA!!!''
Basi sawa!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahah dah umenikumbusha CAZ T jaman nakumbuka enzi hiz tupo boardn kila msichana bwenini anampenda caz t !hehehehe! mkaka alikua mtraam
 
Daaah yaan mkuu Brevis kweli? Ntake radhi mama, sitaki mambo yakuingia ndani ya gari, mimi nina panda ndani ya gari. Kwa mfano, mwenye brevis anaingia ndani ya gari ila mwenye fortuner,prado etc. Huyo anapanda gari. Haya ndiyo mambo yetu mama

Sent using Jamii Forums mobile app

Heaven Sent njoo umchukue mdog wako le don himself hehehe ! haya bows!
 
Daaah yaan mkuu Brevis kweli? Ntake radhi mama, sitaki mambo yakuingia ndani ya gari, mimi nina panda ndani ya gari. Kwa mfano, mwenye brevis anaingia ndani ya gari ila mwenye fortuner,prado etc. Huyo anapanda gari. Haya ndiyo mambo yetu mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa et kuingia ndani ya gar na kupanda ndan ya gar jamaa una matus sana next week tukutane hapo kwa remy nione kweli kama utapanda ndan ya gar au utaingia dan ya gar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom