Harusi meza kuu bibi harusi hakuna baba wala baba wadogo. Mabinti hamuoni aibu

Unajua historia yake kuhusu baba yake?
Vipi kama mama alibakwa au alizaa na raia wa kigeni toka nchi za mbali na aliondoka au alikufa kabla hajaacha mawasiliano?
Vipi kama huyo foreigner na nduguze wameshindwa kuja?
Vipi kama baba yake alikuwa yatima naye ameshafariki?
 
Mshangazi unaojiita bikira latifah sio rahisi kufikiria scenarios hizo zote.
 
JamiiForums usijichanganye uanzishe mada halafu commenter wa kwanza akaenda against na mawazo yako alooh maji utaita mma.

Kinachoendelea kwenye huu uzi kinatokana na aliyetuma post #2 alivyoupokea huu uzi but binafsi mimi naona mleta mada yupo sahihi kushangaa upande wa wakwe kutokuwa na mzazi wa kiume,je alikufa,alifukuzwa nyumbani hakumlea mtoto au kitu gani?ni vingi vya kujiuliza hapa!
 
Nyie ndio mnaongโ€™angโ€™ania kupewa nyama nyingi wakati kwenye harusi umeingia kwa kadi ya mtu..!!

Ungekuwa sehemu ya kamati ungejua tatizo usingeleta upuuzi wako hapa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ