Harusi: Usiku wa Ali na Abdu Kiba

Harusi: Usiku wa Ali na Abdu Kiba

.
bhas mkuu naona upo kishabiki zaid,,mimi nmefafanua energy drinks ambazo zinanendana na ya kiba concerning na ishu ya bei atakayouza,kwa mana ukilinganisha na vimaalta uktuliza ubongo utaona main point..nakuaga kwa mfano huu,burudani na saint ann au dompo zote ni wine ila hazina ushundani
Hivi azam cola,mo cola,Pepsi na Cocacola hizi zote ni cola,isipokuwa Pepsi na Coca brand zao ni kubwa kwa upande wa ladha zinafanana ndicho nachomaanisha mimi.Mo na Azam hadhi yake tofauti na Kung fu na Malta ila zote ni ENERGY DRINK.
 
Mke si mali fanya kazi!!wanawake wapo tu unakimbilia nini kuoa?!mwenzako Mondi yuko bize anasaka dolari wanawake wapo tu!
 
Kesho tu hapo utaskia joowzey kafumaniwa anamla uroda mke wa alikiba,ila uyu mtoto wa kimombasa lazma atakuwa anatoa jicho ngoja nimpandie dau
 
Naomba mtu anifafanulie...Hichi kinywaji alichozindua leo kiba kipo South Africa na jina Kama hilo hilo sasa yeye kawa balozi au..

Maana vinafanana Rangi mpaka kopo...tofauti hapo naona kwa kiba kuna sura yake tu.
 
Hivi ingekuwa Wewe mke wako wanamuongelea hivyo ungejisikiaje....
Jaribu kutoa respect kwa wake za watu kijana.
Ni utani tu usilie! Huyu ni public figure hivyo sio wote watakaomsema kwa mazuri,wapo watakaomsema kwa mabaya na wengine kama mimi tunachombeza na kautani mkuu!! Sio muda wote tunakunja ndita
 
Ila vyote si Energy Drink au ndio unataka kuleta ubishi wa SIDE na SAID kama ya Azam nishawahi kuinywa ila haikunivutia na kumbuka Mo nae ana Cola,azam wanayo amabazo zote zina radha zinazokaribia na Coca na Pepsi.(Utofauti upo ktk Formula basi)
unataka kusema kwamba Azam Cola inaweza kuwa mbadala wa Coka au pepsi? Haipo kabisa hiyo.
 
Mimi sitaki kuongelea harusi yenyewe ila hakuna kitu nachukia kuona watu au hata mtu ukitoka na family out jambo ni mara chache inatokea lakini sasa nafasi pekee ndio mnaonana watu hebu wekeni simu zenu mbali mfurahie harusi na marafiki ni japo la few hours tu lakini unakuta kila mtu simu. tabia mbaya sana. Mimi nikiwa na out na family nawaambia kabisa simu pembeni hebu tuongee wenyewe maana tumekaa meza moja tuko kimya kila mtu na simu anaongea na watu wako mbali au sijui anafanya nini yaani inakera sana. Jamani tubadilikeni haipendezi kabisa.
 
wapinzani wa Mofaya sio mo energy wala azam energy wapinzani wake ni wakina baltika,redbull, kungfu energy na wengineo hii ni nzuri sana kwa sie ambao sio walevi lakin huwa tunakaa bar itatusaidia sana aiseee
huku vijijini tunakunywa azama energy ya mia sita tena hata tatu kwa siku, chupa wanachukua watoto kupeleka shule kupambia vibarabarani, shule huko ni blue ya azam tu!
 
sipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.
Allah Akbar Sheikh....!

Mwali atuvalia kiheshma na stara wakati wa send off...ila leo mbele ya wakwe zake aonesha matiti/maziwa nje.

Hili hata waislam halisi wanajua ni UNAFIKI.
 
Back
Top Bottom