Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
.umetisha mkuu kwa kumfafanulia team ndomo,.... Sisi team Kiba kwetu furaha tu leo
ah ah anaelewa bhas tu anazngua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.umetisha mkuu kwa kumfafanulia team ndomo,.... Sisi team Kiba kwetu furaha tu leo
yes nashukuru kwa kunielewa bossHapo sasa tutakuwa tumeelewana na ni kweli ni vigumu kuikuta kung fu au malt kwa mangi.Ila hizi azam na mo uswailini kibao.
.asipoelewa na hapa tena sasa huyu atakuwa ana matatizo kichwani
Hivi azam cola,mo cola,Pepsi na Cocacola hizi zote ni cola,isipokuwa Pepsi na Coca brand zao ni kubwa kwa upande wa ladha zinafanana ndicho nachomaanisha mimi.Mo na Azam hadhi yake tofauti na Kung fu na Malta ila zote ni ENERGY DRINK..
bhas mkuu naona upo kishabiki zaid,,mimi nmefafanua energy drinks ambazo zinanendana na ya kiba concerning na ishu ya bei atakayouza,kwa mana ukilinganisha na vimaalta uktuliza ubongo utaona main point..nakuaga kwa mfano huu,burudani na saint ann au dompo zote ni wine ila hazina ushundani
Kesho tu hapo utaskia joowzey kafumaniwa anamla uroda mke wa alikiba,ila uyu mtoto wa kimombasa lazma atakuwa anatoa jicho ngoja nimpandie dau
Hahahahaha demu kaboa sanaaaaaHuyu dada ambae wako na Hashim anaharibu mahojiano na kilemba chake kama fuko la cement.
Hajui kuuliza maswali anakuwa kama Tunakopa tano hapa na mbili kichwani.
Ni utani tu usilie! Huyu ni public figure hivyo sio wote watakaomsema kwa mazuri,wapo watakaomsema kwa mabaya na wengine kama mimi tunachombeza na kautani mkuu!! Sio muda wote tunakunja nditaHivi ingekuwa Wewe mke wako wanamuongelea hivyo ungejisikiaje....
Jaribu kutoa respect kwa wake za watu kijana.
Shoga huyo acha nayeAcha wivu wa kike wewe.
He better do it sio Ku stick na mziki mziki mziki tuuuuuu.Uzinduzi wa energy drink.. MofayaView attachment 760982View attachment 760983
unataka kusema kwamba Azam Cola inaweza kuwa mbadala wa Coka au pepsi? Haipo kabisa hiyo.Ila vyote si Energy Drink au ndio unataka kuleta ubishi wa SIDE na SAID kama ya Azam nishawahi kuinywa ila haikunivutia na kumbuka Mo nae ana Cola,azam wanayo amabazo zote zina radha zinazokaribia na Coca na Pepsi.(Utofauti upo ktk Formula basi)
Hongera nae kawa baloziUzinduzi wa energy drink.. MofayaView attachment 760982View attachment 760983
Wabongo mshaanza..roho za kichawi hizi!He better do it sio Ku stick na mziki mziki mziki tuuuuuu.
huku vijijini tunakunywa azama energy ya mia sita tena hata tatu kwa siku, chupa wanachukua watoto kupeleka shule kupambia vibarabarani, shule huko ni blue ya azam tu!wapinzani wa Mofaya sio mo energy wala azam energy wapinzani wake ni wakina baltika,redbull, kungfu energy na wengineo hii ni nzuri sana kwa sie ambao sio walevi lakin huwa tunakaa bar itatusaidia sana aiseee
Washadinyana tayari huo msisimko utoke wapi ?Ila sherehe ya leo imeepooza kama imemwagiwa mkojo wa ngedere.
Allah Akbar Sheikh....!sipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.