Harusi: Usiku wa Ali na Abdu Kiba

Harusi: Usiku wa Ali na Abdu Kiba

Ila kwa ujumla Alikiba amejitahidi sana
 
sipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.
Miziki ni haramu yote. Pili sijapenda idea ya kupeleka dufu pale wangefanya reception yao ya kidunia wangemaliza shughuli. Wanaudhalilisha uislam
 
Kumbe Mengi nae balozi wa Coca-Cola..?
Kunywa tu mkuu [HASHTAG]#Mofaya[/HASHTAG] ya [emoji146]
Kuna tofauti sn Mengi ana fanya biashara na coca cola ya Franchising.

Kibakuli yeye ni balozi ni sawa na useme viatu vya nike ni kampuni ya Ronaldo kisa kiatau kina itwa Nike Mercurial Superfly 360 Elite CR7 FG,

Iyo Mofaya ni ya DJ SBU na hata anayo Album yke inaitwa Mofaya ya mwaka 2014
IMG_20180430_075303.JPG
IMG_20180430_074631.JPG
 
Huyu mama asifurahie kuolewa na kula keki tu, anatakiwa awe mvumilivu na mwenye mapenzi kwa watoto wa mumewe. Maana nimeshuhudia wakinamama wa kambo wengi wana drama zinazowaweka mume zao kwenye wakati mgumu. Kama kampenda Ali Kiba apende na watoto wake.

Wenu mtiifu, Baba Gaude.
 
Binafsi imeniboaaaa ata sikumalizia kuangalia.....imepooooozaaa utazan co sherehe!?
Ila alopamba ukumbi katishaaaaa
 
Back
Top Bottom