Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,544
- 2,169
Sema wana manyonyo mengi sana mkuu, full mitindiNimewapenda wake zao wamependeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wana manyonyo mengi sana mkuu, full mitindiNimewapenda wake zao wamependeza
Safi kabisa.
Usitake kubishana na dini za watu.Kuna aya inayosema moja kwa moja mziki ni haramu
Kwani wewe unajua mimi dini ganiUsitake kubishana na dini za watu.
Miziki ni haramu yote. Pili sijapenda idea ya kupeleka dufu pale wangefanya reception yao ya kidunia wangemaliza shughuli. Wanaudhalilisha uislamsipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.
Ungekuwa ni Muislamu usingeuliza swali hilo Wewe utakuwa Muislamu jina. Anza kuijua dini yako hujachelewa Sana.Kwani wewe unajua mimi dini gani
Mengi, mangapi?Sema wana manyonyo mengi sana mkuu, full mitindi
Naamini hii itakua haina mkono wa Kusaga..!Uzinduzi wa energy drink.. MofayaView attachment 760982View attachment 760983
Ni kampuni ya Sauzi Kibakuli kachaguliwa km balozi tuNaamini hii itakua haina mkono wa Kusaga..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kampuni ya Sauzi Kibakuli kachaguliwa km balozi tu
Kumbe Mengi nae balozi wa Coca-Cola..?Ni kampuni ya Sauzi Kibakuli kachaguliwa km balozi tu
Kuna tofauti sn Mengi ana fanya biashara na coca cola ya Franchising.Kumbe Mengi nae balozi wa Coca-Cola..?
Kunywa tu mkuu [HASHTAG]#Mofaya[/HASHTAG] ya [emoji146]
Msaga sumuuuKuna tofauti sn Mengi ana fanya biashara na coca cola ya Franchising.
Kibakuli yeye ni balozi ni sawa na useme viatu vya nike ni kampuni ya Ronaldo kisa kiatau kina itwa Nike Mercurial Superfly 360 Elite CR7 FG,
Iyo Mofaya ni ya DJ SBU na hata anayo Album yke inaitwa Mofaya ya mwaka 2014 View attachment 761085View attachment 761086
Unapewa facts unajibu utumbo njoo na hoja kwann unasema Kibakuli kazindua kinywaji chake badala useme Kibakuli kalamba dili la ubalozi wa kinywaji cha MofayaMsaga sumuuu
Ila sherehe ya leo imeepooza kama imemwagiwa mkojo wa ngedere.
Jana bby nilikuulizia kwa Dada yako lakini hakunambia ulipokwenda, sasa kinachofata ni mwendo kutrack sim zako.Nzuriii