Harusi ya Alikiba ukumbi/mapambo kugharimu sh milioni 40 za Tanzania

Harusi ya Alikiba ukumbi/mapambo kugharimu sh milioni 40 za Tanzania

Kinachonisikitisha mimi kwenye hii story ni kuhusu madafu yetu yalivyoshuka thamani. Yaani shilingi milioni 2 za Kenya ni sawa na shilingi milioni 40 za Tanzania? Hata dola ya Zimbabwe imetuzidi.
 
Mimi nilioa bila harusi na yeye wote tumeoa sioni sababu ya kutumia gharama kama hiyo,wakati kunawatu wanahitaji msaa kidogo sana ili waendeshe maisha yao.
 
ingependeza zaidi iwe hivyo ili kuhoji zaidi pesa zetu walipa kodi zimetumikaje
sio eti mnakaa mahal mnajadili passport ya diamond inashikiliwa ni jambo la kushangaza sana
at crucial moment like this in our country haya mambo ya hawa wasanii hayana faida kwetu kabisa
Mange kawaharibu sana vijana wa dar, yaani akili yenu inakuwa inawaza muda wote kile alichowaambia da mange[emoji13]
 
Mimi nilioa bila harusi na yeye wote tumeoa sioni sababu ya kutumia gharama kama hiyo,wakati kunawatu wanahitaji msaa kidogo sana ili waendeshe maisha yao.
Mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake, usimpangie maisha. Pambana na hali yako nduguyangu
 
Mange kawaharibu sana vijana wa dar, yaani akili yenu inakuwa inawaza muda wote kile alichowaambia da mange[emoji13]
hoja sio "da.mange" wala "vijana wa dar" ....ukweli upo kwenye ripoti ya CAG
wewe kama mtanzania ulietoa ama kuchangia hizo trilioni 1.5 kupitia kulipishwa KODI kwa jasho lako leo kwa mbwembwe nyingi unafatilia harusi ya mtu aliye na uhakika wa maisha ambaye hakujui
 
kila wakati si wakujadili vitu vigumu tu. kuna muda mwingine unatakiwa ulifresh mind kaka
 
Huu ni uongo Alikiba hiyo hela kaipata wapi? Kwa vyanzo gani vya fedha? Show zake ni million 3
 
Mimi nilioa bila harusi na yeye wote tumeoa sioni sababu ya kutumia gharama kama hiyo,wakati kunawatu wanahitaji msaa kidogo sana ili waendeshe maisha yao.
wapi umeshaga sikia kiba100 anatoa sadaka
 
sio njema sababu nashangaa watanzania wako.concentrated na habari za mtu kuoa ama kuolewa kuliko habari za kukomboa nchi au habari za kwamba kodi yao.ya trilioni 1.5 imepotea na haiwaumi kabisa, au hawako concetrated na ripoti ya CAG
mtu akioa ama akiolewa na zaidi hakujui hata inakusaidia nini hio harusi yake ya milioni 40 ?????
Jibu ni moja tu, watanzania wengi muwapumbavu na mnapenda kufuatilia vitu ambavyo havina tija katika maishani. Na mara nyingi vitu visivyokuwa na tija vinakuwa ni vitu vyepesi visivyoumiza akili hata kidogo wakati vile vyenye tija mara nyingi vinahitaji utulivu mkubwa wa akili katika kuvifuatilia. Hivyo akili zenu nyepesi sana na haya ndio matukio yanayowafanya mnunue bando hili kufuatilia habari zake poleni
 
Mimi nilioa bila harusi na yeye wote tumeoa sioni sababu ya kutumia gharama kama hiyo,wakati kunawatu wanahitaji msaa kidogo sana ili waendeshe maisha yao.
Inawezekana wewe huoni sababu ila yeye anaona
 
Back
Top Bottom