Harusi ya Alikiba ukumbi/mapambo kugharimu sh milioni 40 za Tanzania

Yule wa Ay si binti Kagame? Au mamake sijui babake ndo Mtz?
Oh kumbe tayari? Basi atokeze mwingine akamatie hapo Bujumbura ili Afrika Mashariki watutambue kuwa watanzania tuna viuboo vya uhakika ...
 
Mkuu inaonekana hii habari si njema kwako! ni bora hayo maumivu uliyoyapata kwa habari hii ungeyasikilizia kimya kimya tu!
sio njema sababu nashangaa watanzania wako.concentrated na habari za mtu kuoa ama kuolewa kuliko habari za kukomboa nchi au habari za kwamba kodi yao.ya trilioni 1.5 imepotea na haiwaumi kabisa, au hawako concetrated na ripoti ya CAG
mtu akioa ama akiolewa na zaidi hakujui hata inakusaidia nini hio harusi yake ya milioni 40 ?????
 
Oh kumbe tayari? Basi atokeze mwingine akamatie hapo Bujumbura ili Afrika Mashariki watutambue kuwa watanzania tuna viuboo vya uhakika ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
sio njema sababu nashangaa watanzania wako.concentrated na habari za mtu kuoa ama kuolewa kuliko habari za kukomboa nchi au habari za kwamba kodi yao.ya trilioni 1.5 imepotea na haiwaumi kabisa, au hawako concetrated na ripoti ya CAG
mtu akioa ama akiolewa na zaidi hakujui hata inakusaidia nini hio harusi yake ya milioni 40 ?????
Mkuu hizo mada za hayo mambo ya CAG mbona zimo humu JF tayari? au ulitaka kwa sasa hivi JF yote na majukwaa yote yawe na mada moja tu inayozungumzia CAG?
 
ingependeza zaidi iwe hivyo ili kuhoji zaidi pesa zetu walipa kodi zimetumikaje
sio eti mnakaa mahal mnajadili passport ya diamond inashikiliwa ni jambo la kushangaza sana
at crucial moment like this in our country haya mambo ya hawa wasanii hayana faida kwetu kabisa
 
mabrouk ali kiba...jambo la kheri ndugu umelifanya,allah akujazie baraka kwenye ndoa yako...amin
 
Kidoti mama viper, umeachia chuma kikayeyaa? Au una mvuto dadangu? Mbaya sana wasichana wa bongo hasa wa jf mnasemaje
 
yule wa upande wa pili bado hana uhakika kati ya wote alionao ni yupi..hasa..??
anaendelea kuwanusa tuu kwanza,...😛😛😛....na wanajinusisha balaa ...😀😀...
 
Nguvu zake kwenye kampeni za Odinga hazijikwenda bure, ingawa Odinga hakushinda.....

Huku shigongo bado analilia malipo yake na chama kilishinda.. Wema ndo haeleweki kabisa anadanga danga tuu
 
sio njema sababu nashangaa watanzania wako.concentrated na habari za mtu kuoa ama kuolewa kuliko habari za kukomboa nchi au habari za kwamba kodi yao.ya trilioni 1.5 imepotea na haiwaumi kabisa, au hawako concetrated na ripoti ya CAG
mtu akioa ama akiolewa na zaidi hakujui hata inakusaidia nini hio harusi yake ya milioni 40 ?????
ukifuatilia sana siasa utakuwa unanuna kila siku, mwishowe sura itajikunja kama mzee
 
Back
Top Bottom