love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,162
Ni njema shemHahaha haya shem..za asubuh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni njema shemHahaha haya shem..za asubuh?
Yule wa Ay si binti Kagame? Au mamake sijui babake ndo Mtz?Diamond alituletea Manda
Kiba katuletea mkenya
Nasubiria shujaa atakayetuletea binti Kagame...
Oh kumbe tayari? Basi atokeze mwingine akamatie hapo Bujumbura ili Afrika Mashariki watutambue kuwa watanzania tuna viuboo vya uhakika ...Yule wa Ay si binti Kagame? Au mamake sijui babake ndo Mtz?
sio njema sababu nashangaa watanzania wako.concentrated na habari za mtu kuoa ama kuolewa kuliko habari za kukomboa nchi au habari za kwamba kodi yao.ya trilioni 1.5 imepotea na haiwaumi kabisa, au hawako concetrated na ripoti ya CAGMkuu inaonekana hii habari si njema kwako! ni bora hayo maumivu uliyoyapata kwa habari hii ungeyasikilizia kimya kimya tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Oh kumbe tayari? Basi atokeze mwingine akamatie hapo Bujumbura ili Afrika Mashariki watutambue kuwa watanzania tuna viuboo vya uhakika ...
Mkuu hizo mada za hayo mambo ya CAG mbona zimo humu JF tayari? au ulitaka kwa sasa hivi JF yote na majukwaa yote yawe na mada moja tu inayozungumzia CAG?sio njema sababu nashangaa watanzania wako.concentrated na habari za mtu kuoa ama kuolewa kuliko habari za kukomboa nchi au habari za kwamba kodi yao.ya trilioni 1.5 imepotea na haiwaumi kabisa, au hawako concetrated na ripoti ya CAG
mtu akioa ama akiolewa na zaidi hakujui hata inakusaidia nini hio harusi yake ya milioni 40 ?????
ingependeza zaidi iwe hivyo ili kuhoji zaidi pesa zetu walipa kodi zimetumikajeMkuu hizo mada za hayo mambo ya CAG mbona zimo humu JF tayari? au ulitaka kwa sasa hivi JF yote na majukwaa yote yawe na mada moja tu inayozungumzia CAG?
mzigo uo nasikia ulikuwa wa diamondAnother man's poison is another man's food. D kaacha Ally kaoa kabisa
Ndiwoo. Diamond kala kala kaacha. Kiba kaamua aoe. Wifi atakua anapenda Wasaniimzigo uo nasikia ulikuwa wa diamond
duh atari kweli kwa hio kiba100 anapenda makokoNdiwoo. Diamond kala kala kaacha. Kiba kaamua aoe. Wifi atakua anapenda Wasanii
Mbona nipo mkuu!!Ulifichwa wapi aisee?
ukifuatilia sana siasa utakuwa unanuna kila siku, mwishowe sura itajikunja kama mzeesio njema sababu nashangaa watanzania wako.concentrated na habari za mtu kuoa ama kuolewa kuliko habari za kukomboa nchi au habari za kwamba kodi yao.ya trilioni 1.5 imepotea na haiwaumi kabisa, au hawako concetrated na ripoti ya CAG
mtu akioa ama akiolewa na zaidi hakujui hata inakusaidia nini hio harusi yake ya milioni 40 ?????