Mange kawaharibu sana vijana wa dar, yaani akili yenu inakuwa inawaza muda wote kile alichowaambia da mange[emoji13]ingependeza zaidi iwe hivyo ili kuhoji zaidi pesa zetu walipa kodi zimetumikaje
sio eti mnakaa mahal mnajadili passport ya diamond inashikiliwa ni jambo la kushangaza sana
at crucial moment like this in our country haya mambo ya hawa wasanii hayana faida kwetu kabisa
Mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake, usimpangie maisha. Pambana na hali yako nduguyanguMimi nilioa bila harusi na yeye wote tumeoa sioni sababu ya kutumia gharama kama hiyo,wakati kunawatu wanahitaji msaa kidogo sana ili waendeshe maisha yao.
MhHongera king.
Umezalisha wee umeamua uoe.
hoja sio "da.mange" wala "vijana wa dar" ....ukweli upo kwenye ripoti ya CAGMange kawaharibu sana vijana wa dar, yaani akili yenu inakuwa inawaza muda wote kile alichowaambia da mange[emoji13]
kila wakati si wakujadili vitu vigumu tu. kuna muda mwingine unatakiwa ulifresh mind kakahoja sio "da.mange" wala "vijana wa dar" ....ukweli upo kwenye ripoti ya CAG
wewe kama mtanzania ulietoa ama kuchangia hizo trilioni 1.5 kupitia kulipishwa KODI kwa jasho lako leo kwa mbwembwe nyingi unafatilia harusi ya mtu aliye na uhakika wa maisha ambaye hakujui
Thibitisha hiki unachokisema !!Huu ni uongo Alikiba hiyo hela kaipata wapi? Kwa vyanzo gani vya fedha? Show zake ni million 3
wapi umeshaga sikia kiba100 anatoa sadakaMimi nilioa bila harusi na yeye wote tumeoa sioni sababu ya kutumia gharama kama hiyo,wakati kunawatu wanahitaji msaa kidogo sana ili waendeshe maisha yao.
Jibu ni moja tu, watanzania wengi muwapumbavu na mnapenda kufuatilia vitu ambavyo havina tija katika maishani. Na mara nyingi vitu visivyokuwa na tija vinakuwa ni vitu vyepesi visivyoumiza akili hata kidogo wakati vile vyenye tija mara nyingi vinahitaji utulivu mkubwa wa akili katika kuvifuatilia. Hivyo akili zenu nyepesi sana na haya ndio matukio yanayowafanya mnunue bando hili kufuatilia habari zake polenisio njema sababu nashangaa watanzania wako.concentrated na habari za mtu kuoa ama kuolewa kuliko habari za kukomboa nchi au habari za kwamba kodi yao.ya trilioni 1.5 imepotea na haiwaumi kabisa, au hawako concetrated na ripoti ya CAG
mtu akioa ama akiolewa na zaidi hakujui hata inakusaidia nini hio harusi yake ya milioni 40 ?????
Inawezekana wewe huoni sababu ila yeye anaonaMimi nilioa bila harusi na yeye wote tumeoa sioni sababu ya kutumia gharama kama hiyo,wakati kunawatu wanahitaji msaa kidogo sana ili waendeshe maisha yao.
Tema mate chini...Nasubiria staa mwingine wa kwetu atakaye oa SUDANI KUSINI