Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,450
- 600
JAMANI EEEE UKWELI NI KWAMBA HARUSI YA AUNTY EZEKIEL ILIKUWA MAIGIZO TU ILA YASEMEKANA NDOA BADO IPO NA ITAFANYIKA DUBAI HIVI KARIBUNI...!!!
Hahaha acha nijichekee mie lol maana kusema ukweli watu wengi walikuwa wanamaswali mengi kuhusu ndoa hii na kuuliza wapi bwana harusi? Mwingine akasema ndoa ya kiisalu hata Heena hakuna? Mwingine mpaka akaipa wiki tatu ya kudum lol!!!! Anyway habari zilizo tufikia hivi punde ni kwamba Aunty aka Bi Rahma hajaolewa bali alikuwa anatest zali na kutaka kusikia watu watasemaje juu ya ndoa yake.
Habari za kuaminika kutoka MP blog zinadai kwamba ndoa ya ukweli ya Aunty itafanyika Dubai hivi karibuni mahali mumewe mtarajiwa anakoishi. Na pia inasemekana kwamba kutakuwa na bonge lea sendoff hotel Serena hivi karibuni. I hope hii habari pia si ndoto zake tu (I mean Aunty Ezekiel).