Harusi ya Aunty Ezekiel ilikuwa maigizo tu

Harusi ya Aunty Ezekiel ilikuwa maigizo tu

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,450
Reaction score
600
JAMANI EEEE UKWELI NI KWAMBA HARUSI YA AUNTY EZEKIEL ILIKUWA MAIGIZO TU ILA YASEMEKANA NDOA BADO IPO NA ITAFANYIKA DUBAI HIVI KARIBUNI...!!!





Hahaha acha nijichekee mie lol maana kusema ukweli watu wengi walikuwa wanamaswali mengi kuhusu ndoa hii na kuuliza wapi bwana harusi? Mwingine akasema ndoa ya kiisalu hata Heena hakuna? Mwingine mpaka akaipa wiki tatu ya kudum lol!!!! Anyway habari zilizo tufikia hivi punde ni kwamba Aunty aka Bi Rahma hajaolewa bali alikuwa anatest zali na kutaka kusikia watu watasemaje juu ya ndoa yake.

Habari za kuaminika kutoka MP blog zinadai kwamba ndoa ya ukweli ya Aunty itafanyika Dubai hivi karibuni mahali mumewe mtarajiwa anakoishi. Na pia inasemekana kwamba kutakuwa na bonge lea sendoff hotel Serena hivi karibuni. I hope hii habari pia si ndoto zake tu (I mean Aunty Ezekiel).


 
serena hotel kwa utajiri upi walionao, yeye na malaya wenzake wanalala gheto pale kinondoni kwa manyanya!
 
Watu wanaopenda huyu dada msaidieni sasa, huu ugonjwa wa akili unaomsumbua utamfikisha pabaya.
 
Kwa taarifa yenu ndoa ya Aunt Ezekiel ni ya kweli na imefanyika Alhamis ya tar 16 Nov 2012 Dubai, wenye wivu mlie tu.
 
Back
Top Bottom