Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Kama hukwenda kwenye Hio wedding..
Usitupigie kelele za ubilionea[emoji23][emoji23]
 
Huyo mume wa binti wa Dangote ahesabu kuolewa yeye tu!
 
investment za akili mimi sizioni zidi ya kuibiwa kifala mchana kweupe.Kuanzia Umeme, Madini , Maliasili ni uwekezaji gani wa akili hapo.
Omo! Kafungue file la kuibiwa police station inakuaje umeibiwa halafu unalalamika bila kuchukua hatua jifunze kuwa na adabu yeye sio malaika kusema a fix kila sehemu hakuwa wakwanza wala wa mwisho cha muhimu omba Mungu ipatikane katiba mpya ili mikataba ya hivo vitu vilivyotajwa iwe wazi na yafaida kwa taifa na sio iyo mihemko yako haita saidia bila katiba ya kuvilinda.
 
Magu kawezaje wakati katiba mpya bado.Waswahili mlishazoea kulizika na ngoma ya mdundiko na pilau tu
 
Dah ndio maana na mimi huwa napenda kutembelea sehemu za kishua labda cku moja ninaweza pata zari la kupendwa na mtoto wa waziri au hata jesca wa jpmm nifaidi maisha ya hii awamu
 
Aliko hakuja ku invest kiboya mshukuru kikwete alikua na connection za akili watu walinufaika kwa ajira kemkem usimchukulie poa hao ni marafiki eti kawakilisha wastafu! mheshimu kikwete
Kumbe muwekezaji rafiki wa prezidaa.. Napata wasiwasi na huo uwekezaji kama ulilenga kuinufaisha TZ, au kumkirimu rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…