Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Bila shaka itakuwa ndio harusi iliyo jaza vigogo kuliko zote Abuja...
 
Mkuu unauhusiano wowote na kamati fulani zinaitwa za roho mbaya (joking)
Haha mkuu nipo kwenye kamati ya Majungu mkuu....(jokin)

Ila kiukweli mkuu ukimuangalia dangote mwenyewe na uyo bi harusi dangote anaonekana kijana...sema nn sio case mademu wanawahi kuzeeka haraka..
Hela sio kila kitu. Nimeamini
 
Mkuu hata mkikutana mnaweza MSI click.... Kuna jamaa alimuokoa mtoto wa ShubasPatel Nawe Beach akamtoa ktk maji akikalihia kuzama lakini nothing had happened zaidi ya kupewa pesa kiasi na kupata kazi kiwanda cha chuma na baadae sayona.
 
Back
Top Bottom