Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe fanya kazi kwa bidii ili wanao waje kurithi toka kwako.utajiri wenyewe kaurithi kutoka kwa mjomba wake
Penye fungu ndipo huwekwa nyongeza.Pesa hufuata pesa
Jamaa ni mtoto wa kamishna wa jeshi la polisi.simon siroaliyemuoa bila shaka na yeye anatokea ktk familia ya kishua.. sidhani kama ni kapuku.
Ukishajua itakusaidia nini? Akili yako inawaza udini tu eeh?!bibi harusi ni muislamu?
Mkuu kwahiyo unatafuta mke kwa kipaumbele cha mali na sio mapenzi au sifa za binti kua mke? Nauliza tu.Mie wacha nianze kunyemelea mtoto wa B.Gates na Lt. Steve Job labda nnaweza kuokota dodo huko.
Ila shida mmojawapo akinikubalia ataweza kuja kula ugali wa kulumangia na kachumbari
Hajui kuwa Dangote ni tajiri wa Afrika,Afrika kuna zaidi ya nchi 55,nchi moja tu kama Tanzania zinaingia Uingereza tano(5),Congo inaukubwa wa nchi zote za ulaya mashariki uziweke pamoja...Kwani ana kiwanda Bongo tu? tazama CNN uone ana shughuli ngapi Africa na duniani ndo uje kusema haya. Bongo utiritimba na mihemko yetu inafukuza wawekezaji. Dangote hana shida na vijisenti vyetu ila alitaka kuwekeza kutusaidia tusio saidika.
Ninatafuta mke kwa kigezo cha mapenzi maana pendo langu mie limedondokea huko kwa hao mabinti so nkifanikiwa kumpata hasa yule wa SJ ndiyo nnayemkubali zaidiMkuu kwahiyo unatafuta mke kwa kipaumbele cha mali na sio mapenzi au sifa za binti kua mke? Nauliza tu.
Ni mtoto wa Alhaj Aliko Dangote, maana yake baba yake aliwahi kwenda Kuhiji Maka(Mecca-Saudia). So ni Muislam,bi Fatimbibi harusi ni muislamu?
Hili povu bado sijalielewaanaacha kiwanda cha cement kinakufa songea huko yeye anakula harusi. akili za waafrika sijui nani katulaani. nasasa amedrop sana
I doubt kama unaifahamu historia ya Dangote!!utajiri wenyewe kaurithi kutoka kwa mjomba wake
Ni mtoto wa Alhaj Aliko Dangote, maana yake baba yake aliwahi kwenda Kuhiji Maka(Mecca-Saudia). So ni Muislam,bi Fatim