Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Kikwete pamoja na kutoka madarakani bado anasafiri nje hataki kubana matumizi kama baba Jesca anavyohitaji?
 
Mie wacha nianze kunyemelea mtoto wa B.Gates na Lt. Steve Job labda nnaweza kuokota dodo huko.

Ila shida mmojawapo akinikubalia ataweza kuja kula ugali wa kulumangia na kachumbari
 
Mie wacha nianze kunyemelea mtoto wa B.Gates na Lt. Steve Job labda nnaweza kuokota dodo huko.

Ila shida mmojawapo akinikubalia ataweza kuja kula ugali wa kulumangia na kachumbari
Mkuu kwahiyo unatafuta mke kwa kipaumbele cha mali na sio mapenzi au sifa za binti kua mke? Nauliza tu.
 
Kwani ana kiwanda Bongo tu? tazama CNN uone ana shughuli ngapi Africa na duniani ndo uje kusema haya. Bongo utiritimba na mihemko yetu inafukuza wawekezaji. Dangote hana shida na vijisenti vyetu ila alitaka kuwekeza kutusaidia tusio saidika.
Hajui kuwa Dangote ni tajiri wa Afrika,Afrika kuna zaidi ya nchi 55,nchi moja tu kama Tanzania zinaingia Uingereza tano(5),Congo inaukubwa wa nchi zote za ulaya mashariki uziweke pamoja...

Usishangae kuwa hata hicho kiwanda cha Tanzania hana habari nacho sana kwa misengewe na matatizo anayo ipata kutokana na watawala,mara utasikia kakifunga...
 
Haaa! Haaa! Wasiojulikana hawezi kwenda kwenye Harusi kama hiyo
 
Mkuu kwahiyo unatafuta mke kwa kipaumbele cha mali na sio mapenzi au sifa za binti kua mke? Nauliza tu.
Ninatafuta mke kwa kigezo cha mapenzi maana pendo langu mie limedondokea huko kwa hao mabinti so nkifanikiwa kumpata hasa yule wa SJ ndiyo nnayemkubali zaidi
 
Back
Top Bottom