Dah umewaza sana mkuuMwanaume unoa lakini unaweza jioni kama wewe ndio unaolewa
Ameoa mtoto wa aliekua IGP Nigeriaaliyemuoa bila shaka na yeye anatokea ktk familia ya kishua.. sidhani kama ni kapuku.
Namuona jahkaya hii sasa ndo harusiMtoto wa mjini jk ndan ya nyumbaView attachment 724068View attachment 724069
Sidhani kama ni muislam huyo dada.bibi harusi ni muislamu?
HahahhahahahahaHuyo dada kafanana sana na baba yake.
Putin alishawahi kumwambia Markel kuwa haijalishi uvae gauni la aina gani siku ya harusi ila usiku kwenye honey moon kazi itakuwa ni moja. Kutiwa
Ila mi nawashauri tuache kujitenga siku zote kukaa uswahilini tu, mpaka mawazo yanadumaa.ni kweli, watoto wa kishua wana occasion zao ambazo huwakutanisha.
mwenzangu na mimi utabiki kupishana na kina mwajuma ndala ndefu mtaani kwenu.
Kumbe na Kikwete nae ni bilionea wa level ya Forbes?ukishaona mpaka bill gate alihudhuria basi jua hiyo ni harusi ya mtoto wa mtu mzito haswa.
namuona sanusi lamido sanusi gavana wa kano pembeni ya billgates hao ndo madon wa nigeria.Mtoto wa mjini jk ndan ya nyumbaView attachment 724068View attachment 724069
Mbona shoeshiner Lugumi alimuoa binti wa aliekuwa IGP Tanzania ?Ameoa mtoto wa aliekua IGP Nigeria
Mtoto wa mjini jk ndan ya nyumbaView attachment 724068View attachment 724069
Wote waislam hata familia ya mzee baba Dangotebibi harusi ni muislamu?
Mbona mzee sasa ni mtoto wa dangote au mdogo wake?Ana mwonekano... Na kilema pendwa nakiona kwa mbali.View attachment 724064