Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Mwisho wa yote maisha yao yanaendelea..

Mke na mume kama wewe hapo na mumeo hapo uswazi..
 
ni kweli, watoto wa kishua wana occasion zao ambazo huwakutanisha.

mwenzangu na mimi utabiki kupishana na kina mwajuma ndala ndefu mtaani kwenu.
Ila mi nawashauri tuache kujitenga siku zote kukaa uswahilini tu, mpaka mawazo yanadumaa.
Kuna siku nilienda pale seashells millenium hotel, jengo la millenium towers, pale nilikutana na akili kubwa.
Yaan siku mojamoja unatoka kwenye makelele unaenda kukutana na watu tofauti yako.
Dah!!! pale hotelini nilikaaa na watu wanaongelea kwenda marekani kama vile kutoka dsm unaenda morogoro.
Ilinipa moyo sana na usongo wa maisha.
 
vllkyt737timqft8s.5980ea1e.jpeg
 
Pamoja na ukubwa wa shughuli ila kama kawaida yetu watu weusi sehemu zote unajihudumia utakavyo ila kwenye nyama na vinywaji lazima kuwepo na mgawaji sijui kwanini hatuaminiani kwenye mambo haya.
 
Wako wapi watoto wa washua wetu!! WENGI WAMEBABI MIFUPA na MATE kutoka mdomoni kwasababu ya sembe kwa wingi!!!
 
Back
Top Bottom