RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
Cjui mm ntamwoa mtt wa nan hapa Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa hufuata pesaaliyemuoa bila shaka na yeye anatokea ktk familia ya kishua.. sidhani kama ni kapuku.
andaa milioni 40 kwa mwananguCjui mm ntamwoa mtt wa nan hapa Tz
Nipo my dear. Vipi kwema lakini mzee wa kukataaWeee MTU upo?😀😀
Unamsaidia kuwekeza hizo pesa??? Yaani upuuzi wetu ndo unataka kuuweka kwake shubaamitanaacha kiwanda cha cement kinakufa songea huko yeye anakula harusi. akili za waafrika sijui nani katulaani. nasasa amedrop sana
SizonjeCjui mm ntamwoa mtt wa nan hapa Tz
Nani kakuambia kuw wenye chura wanaolewaga?Mpe sifa yake bna au kwakua hana chura.?
kweli huyu dangote alikuwa mtoto wa wale madon wa kano kaskazini mwa nigeria na mjomba wake alikuwa kiongozi na tajiri mkubwa sana ingawa hata babake nae za mboga alikuwa hakosiduh!!...basi sawa.
We ndo umelaaniwaanaacha kiwanda cha cement kinakufa songea huko yeye anakula harusi. akili za waafrika sijui nani katulaani. nasasa amedrop sana
Kwanini wasiolewe wakati ni wanawake?Nani kakuambia kuw wenye chura wanaolewaga?
Ni baba yake mtupuBe harusi mrembo