Harusi ya Haji Manara

Ahahahahahhaha dah.
Ndo kisa cha kusema mahari m100.
Mxxxxxie ili kwamba wengine waone hawakutolewa nyingi?
Akwendreee

Nilihisi tu kuna drama sana hapo. Huyu jamaa anautoto sana, au sijui ni uswahili [emoji2296]. Haka kabinti nako katasepa tu kakipevuka kidogo tu.
 
Hahahaaaaa anacheza na kungiru was manzese huyoooo eeeeh
 
Huyu bwana huwa namuonaga kama ana’utoto’ mwingi. Nahisi hata huyo dada akikua kidogo tu, atajionea shida kukaa kwenye utoto wa kiasi hicho. Atakimbia tu kama mwenzie, sema kwa sasa bado nae hajakua.
Wajaaa shikamoooni
 
Hao wazazi waliompa haji manara mke hawampendi, afadhali wangempeleka hata kujifunza ufundi wa cherehani ungemsaidia maishani.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…