snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Unapata shida na kuuliza kuhusu mwanamke huyu ,je huyu,je Huyu, je yule.Mbona tena unanishambulia wakati nimem quote ninaongea nae ni dorryln??
Kapige kazi mdogo wangu utajua huko huko yupo inakuwaje na yupi inakuwaje.
Hizi zaweza kuwa theories tu, which mpk uziprove ndo utapata majibu.
Sasa heb kazana na practical.