Harusi ya Haji Manara

Harusi ya Haji Manara

Yes alisema ana watoto watatu ila kiuhalisia ni wanne ,kama uliona wale wakike wawili walioenda kumpelekea pete ,zamaradi amewatambulisha mmoja anaitwa Fetty Fatma Haji manara na mwingine jina limenitoka alivaa gauni nyekundu naye ni mtoto wa Haji,na wale wakiume wawili aliowatambulisha mmoja mwanayanga mwingine yule tall aliyemuamkia akasema hajaonana nao zaidi ya miezi miwili coz ya shule.
Yule mkubwa aliepeleka pete ni dadake
 
Huyu bwana huwa namuonaga kama ana’utoto’ mwingi. Nahisi hata huyo dada akikua kidogo tu, atajionea shida kukaa kwenye utoto wa kiasi hicho. Atakimbia tu kama mwenzie, sema kwa sasa bado nae hajakua.
 
Back
Top Bottom