King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hahaha hizi Typo Auto ni Shida, Yes Dada Yake Bibi Harusi Bi Zainabu Abdallah atapasuka aiseee yupo kama PUTO,Ulimaanisha bibi harusi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hizi Typo Auto ni Shida, Yes Dada Yake Bibi Harusi Bi Zainabu Abdallah atapasuka aiseee yupo kama PUTO,Ulimaanisha bibi harusi?
Hapana Mamy sio Uchawi ,ndoa hizi za mbwembwe nyingi % kubwa huwa hazidumu kabisa!! Na hii ya Manara naona kabisa hapa kwenye Radar yangu haifiki 2022.Mi niliwaza kimoyo moyo nikaogopa kuitwa mchawi mwenzio.
Pesa pesa pesaa jombaaaa.....dini inawekwa pembeni kidogoKasema ana watoto watatu. Afu watu bwana mtu kashakaa ndoani miaka kibao, leo anapewa mawaidha ya ndoa khaaa
Nawaza kama yule mke wa kwanza yamemshinda, tena kazaa nae watoto. Huyu binti mdogo ataweza kash kash za Haji?Hapana Mamy sio Uchawi ,ndoa hizi za mbwembwe nyingi % kubwa huwa hazidumu kabisa!! Na hii ya Manara naona kabisa hapa kwenye Radar yangu haifiki 2022.
😂😂😂PutooHahaha hizi Typo Auto ni Shida, Yes Dada Yake Bibi Harusi Bi Zainabu Abdallah atapasuka aiseee yupo kama PUTO,
Huyu nimesikia ni mke wa waziri wa maji, ile ndoa ya kwanza ilimshindaga nini maana mme alimletea mke mdogo.Hahaha hizi Typo Auto ni Shida, Yes Dada Yake Bibi Harusi Bi Zainabu Abdallah atapasuka aiseee yupo kama PUTO,
Ananyonyesha jamaniii....😂😂😂Putoo
Si alijitutumuaga kuwa ye ndo alimruhusu bwana akaoe...hahahaaaHuyu nimesikia ni mke wa waziri wa maji, ile ndoa ya kwanza ilimshindaga nini maana mme alimletea mke mdogo.
Heh!!kumbee..Ananyonyesha jamaniii....
Yule mkubwa aliepeleka pete ni dadakeYes alisema ana watoto watatu ila kiuhalisia ni wanne ,kama uliona wale wakike wawili walioenda kumpelekea pete ,zamaradi amewatambulisha mmoja anaitwa Fetty Fatma Haji manara na mwingine jina limenitoka alivaa gauni nyekundu naye ni mtoto wa Haji,na wale wakiume wawili aliowatambulisha mmoja mwanayanga mwingine yule tall aliyemuamkia akasema hajaonana nao zaidi ya miezi miwili coz ya shule.
Kama ni zainab..yesSi alijitutumuaga kuwa ye ndo alimruhusu bwana akaoe...hahahaaa
unatizama channel gani ndugu?Ila kanzu ya Haji utadhani dela la shughuli na huu utamaduni wa kuvaa majambia utadhani tupo Mekka kuna siku atakuja kuvaa kichaa halafu iwe mshike mshike kwenye shughuli.
Huyu sister aliachana na yule mumewe?Huyu nimesikia ni mke wa waziri wa maji, ile ndoa ya kwanza ilimshindaga nini maana mme alimletea mke mdogo.
Baada ya mume kuongeza mke naona ndoa iliyumbaaHuyu sister aliachana na yule mumewe?
Wanawake wengi wa kiislamu wanapinga uke wenza lakini huyu sister mwanzo alionyesha kumuunga mkono mumewe kuongeza mke, pengine labda alisema vile ndo haya maisha ya kuigiza ya kwenye social media au kuna sababu nyingine iliyosababisha ndoa kuyumba.Baada ya mume kuongeza mke naona ndoa iliyumbaa
Waislam maskini ndo huwa na ujinga ujinga.Mambo ya mjini hayo ndugu yangu