Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
....ukiongeza na huo "uwazi" katikati ya meno, duuuu ni balaaaa...
very cute hadi raha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....ukiongeza na huo "uwazi" katikati ya meno, duuuu ni balaaaa...
Rafiki Ab-Titchaz, mbona mwali anafanana na Aunt Ezekiel, msani wa Tanzania, au macho yangu ni mabovu?
ana midomo mizuri....hizo lips
Mtapata mualiko hivi punde na msikose kuja basi...
maandiko yana sema usitamani....
nitafurahia nami nikiwemo huko ila sasa usininyime tenda ya kadi, keki na kuwa MC katika harusi yako
ana midomo mizuri....hizo lips
Una muashki mwanamke mwenzio; wewe msag....... nini?
jamani amemvutiwa tu hakutamani yule anayetamani utamjua kwani atafanya kwa vitendo ili apate