Harusi ya Hawa Abdulkadir na Mohammed Noah

Harusi ya Hawa Abdulkadir na Mohammed Noah


Rafiki Ab-Titchaz, mbona mwali anafanana na Aunt Ezekiel, msani wa Tanzania, au macho yangu ni mabovu?

Aunty, itabidi ukakaguliwe macho eti...lol. Unajua uzee gharama eti....:loco:
 
nitafurahia nami nikiwemo huko ila sasa usininyime tenda ya kadi, keki na kuwa MC katika harusi yako

Order yako imepokelewa dadangu na lazima tutatuma kadi pindi nitakapo'eka mambo mswano...lol!
 
Back
Top Bottom