Harusi ya Hawa Abdulkadir na Mohammed Noah

Harusi ya Hawa Abdulkadir na Mohammed Noah

Mfano mmojawapo ni huyu jaji Mstaafu, Augustino RAMADHANI, ambaye kwa sasa ni mchungaji wa kanisa la Anglikana kule Zanzibar.

Huyu ana ndugu yake ambaye alikuwa Askofu wa Kanisa la ANGLIKANA John Ramadhani.
 
Dogo unae kwenye kaptula yako!

Na hio asubuhi ni ya kwako!
Kwangu mimi huwezi kujua!

Na suala la kubinuka unalo wewe kwenye yale majukwaa yako ya udaku!

Wale mapashkuna wenzako kina babav walikuwa wanajiuliza ulipigwa ban kwa sababu gani!
Mi nikawajibu kuwa kwa sababu ya kukosa kosa kubaka!
Manake nyie wachungwaji ni balaa!

Naona umeomba radhi ukaachiwa!
Teh teh teh teh!

Unajidai hujui muda wa huku kwa bibi yako?
Unajidai wewesio dogo wakati unajua kabisa wewe ni dogo?

Halafu tangu lini ukawa unajidai hujui kubinuka?
Au leo unalikana lile jiwe?

Unadhani sisi ni wabakaji kama yule jamaa aliyekabaka kale katoto?

Hebu kuwa na hata soni wewe maamuma!
 
Nadhani mungu mzungu kamaliza kesi hapo chini!

Haya nenda na wewe UKatafute bwana! Mchungwaji akakutoe pepo!
 
Nadhani mungu mzungu kamaliza kesi hapo chini!

Haya nenda na wewe UKatafute bwana! Mchungwaji akakutoe pepo!

Sihitaji kumtafuta yoyote kwasababu Mungu wangu yupo kila mahali
Wa kwako yupo kaburini na mwingine yupo kule kwa waarabu

Kila siku mnainama kumuelekea

Nasikia eti ni mweusi kwasababu ya dhambi zenu kumgawia kila mwaka mnapoenda huko
Hivi wale ambao hawana hela kama wewe dhambi zenu anazipataje?
 
Mungu wangu HAJAJITOA MUHANGA na kutoa roho yake kwa ajili ya dhambi zangu.

We mungu wako mzungu kajiua kwa ajili ya wale wabakaji ndani ya makanisa!

Sasa sijui nani kafa hapo!
 
Mungu wangu HAJAJITOA MUHANGA na kutoa roho yake kwa ajili ya dhambi zangu.
Hili nakubaliana na wewe kwakuwa nyie ndio mnajitoa mhanga kwaajili ya mungu wenu
Teh teh teh teh teh
We mungu wako mzungu kajiua kwa ajili ya wale wabakaji ndani ya makanisa!
Dogo una mtindio wa ubongo wewe
Unasema Mungu halafu hapo hapo unasema Mzungu
Hizo ni sifa mbili tofauti

Mzungu hawezi kuwa Mungu
Mungu anaweza kuwa Mzungu,Muafrika n.k

Hivyo unapochanganya hayo unakuwa unajipalia makaa tu
Ni sawa na useme eneo ni kavu hala fu useme eneo lile lile kwa muda uleule useme lina maji

Dogo hebu acha kuniaibisha bana
Sasa sijui nani kafa hapo!
Kwani yle jamaa na kale ka dem kake katoto yuko wapi sasa?

Hivi wali m poison au?
 
Hili nakubaliana na wewe kwakuwa nyie ndio mnajitoa mhanga kwaajili ya mungu wenu
Teh teh teh teh teh

Dogo una mtindio wa ubongo wewe
Unasema Mungu halafu hapo hapo unasema Mzungu
Hizo ni sifa mbili tofauti

Mzungu hawezi kuwa Mungu
Mungu anaweza kuwa Mzungu,Muafrika n.k

Hivyo unapochanganya hayo unakuwa unajipalia makaa tu
Ni sawa na useme eneo ni kavu hala fu useme eneo lile lile kwa muda uleule useme lina maji

Dogo hebu acha kuniaibisha bana

Kwani yle jamaa na kale ka dem kake katoto yuko wapi sasa?

Hivi wali m poison au?

We unakataa kuwa mungu wako sio mzungu!?
Hebu tazama hapa chini halafu kataa kuwa huyo sio mungu wako ULAANIWE!
 
Attachments

  • 1398524445063.jpg
    1398524445063.jpg
    40 KB · Views: 112
  • 1398524463511.jpg
    1398524463511.jpg
    50 KB · Views: 106
  • 1398524481199.jpg
    1398524481199.jpg
    29.5 KB · Views: 106
  • 1398524494083.jpg
    1398524494083.jpg
    57.4 KB · Views: 105
  • 1398524513628.jpg
    1398524513628.jpg
    37.6 KB · Views: 103
  • 1398524534140.jpg
    1398524534140.jpg
    79.6 KB · Views: 105
Kama unabisha hebu nionyeshe picha ya mungu wako mweusi!
 
We unakataa kuwa mungu wako sio mzungu!?
Hebu tazama hapa chini halafu kataa kuwa huyo sio mungu wako ULAANIWE!

Wewe utakuwa na matatizo ya akili si bure

Picha uweke wewe halafu unadai eti ni Mungu wangu

Tatizo lenu mmezoea kuabudu mtu ndio maana mnadhani kila mtu ana imani kama yenu

Hebu nidokeze huyo jamaa ni nani vile?

Au ni mjomba aako?
 
Mungu wangu hana rangi kama wako alivyo mweusi na hata haongei!

Kwa hio UNAKATAA KUWA HII PICHA HAPA CHINI SIO YA yesu!??
 
Attachments

  • 1398525118105.jpg
    1398525118105.jpg
    47.4 KB · Views: 150
Kwa hio UNAKATAA KUWA HII PICHA HAPA CHINI SIO YA yesu!??
Kwanza hiyo sio picha ni mchoro
Hujui tofauti ya mchoro na picha wewe?

Halafu nyakati za Yesu hakukuwa na teknolojia ya kamera
Hiyo waliipigaje?

Au unaleta uzushi tu kama ilivyo kawaida yenu maamuma?
 
Kwanza hiyo sio picha ni mchoro
Hujui tofauti ya mchoro na picha wewe?

Halafu nyakati za Yesu hakukuwa na teknolojia ya kamera
Hiyo waliipigaje?

Au unaleta uzushi tu kama ilivyo kawaida yenu maamuma?

Leo wewe mgalatia unakataa kuwa huyo hapo juu sio YESU! na unasema ni mjomba wangu!!

Namuita padri matumbo na bi mama paroko mgen waje wakulaani hapa!
 
Attachments

  • 1398525603358.jpg
    1398525603358.jpg
    46.4 KB · Views: 112
Last edited by a moderator:
Leo wewe mgalatia unakataa kuwa huyo hapo juu sio YESU! na unasema ni mjomba wangu!!

Namuita padri matumbo na bi mama paroko mgen waje wakulaani hapa!

Yaani wewe hata kiswahili kinakushinda wakati ndio lugha yako

Hata kama ingekuwa unayosema ni kweli huyo asingekuwa ni Yesu bali ni picha yake

Lakini kwakuwa unachokisema ni uongo basi nakupa pole sana maana baba wa uongo ni Lucifer

Inaonekana huyo ni mjomba aako upande wa huyo mama anaekulea huko ughaibuni

Maana umekomaa kama vile huna hata macho ya kuona

Dogo hebu nenda kanywe kahawa bana!
 
Unajidai hujui muda wa huku kwa bibi yako?
Unajidai wewesio dogo wakati unajua kabisa wewe ni dogo?

Halafu tangu lini ukawa unajidai hujui kubinuka?
Au leo unalikana lile jiwe?

Toba!!
 
We unakataa kuwa mungu wako sio mzungu!?
Hebu tazama hapa chini halafu kataa kuwa huyo sio mungu wako ULAANIWE!

picha za kina mel gibson hizo zinachanganya watu hahahahahahaa blaaa
 
Harusi imependeza - tunawaombea mafanikio na masikilizano katika maisha yao.
 
Back
Top Bottom