Harusi ya Joti mcity, harusi ya prof jay vs harusi za wasomi za kusumbuana waajiriwa michango

Harusi ya Joti mcity, harusi ya prof jay vs harusi za wasomi za kusumbuana waajiriwa michango

Huwa nchi za mbele hawaelewagi ujamaa wetu harusi ya kwako maisha yako unachangisha watu ufanikishe harusi yako
 
DSTV wamempa maneno KIBONDE,SI kwa kuwataja huko,kwenye zawadi maalum Azam sikuwaona wala kuitwa kwa namna ya pekee.
Azam walishadaka chao cha airtime kinatosha hata wasipotajwa.Ingawa walitajwa na kuitwa sana tu
 
Jambo la kushangaza ni kuwa unakuta familia inatamani kufanya harusi ya gharama za milioni kumi ilhali wao wanachangia milioni moja. Hebu fikiria mtu ana shilingi mia tano, anakuomba umuongezee elfu mbili ili anunue bia, utamwelewa kweli?
Heheh alafu unapangiwa kabisa na kiasi cha kutoa,utasikia alfu 50 double,thalathini singo
 
DSTV wamempa maneno KIBONDE,SI kwa kuwataja huko,kwenye zawadi maalum Azam sikuwaona wala kuitwa kwa namna ya pekee.
hukufatilia nimeona wameitwa azam wamepewa zawadi wasiwataje tena waliowarusha??
 
Basi una lako jambo
nyie ndo wale ambao mna lawama mwisho wa siku mseme kama sio nyie kuchangia harus isingefanyika
michango yenye lawama
kuchanga lazima wewe vp??? au ndio wale wa vijijini nyinyi kwanza inaleta umoja na undugunaization
 
MKUU, USIONE VYAELEA VIMEUNDWA

NDOA YA JOTI HUENDA JOTI MWENYEWE HAJATOA HATA SENTI 1.

YULE NI MTU MAARUFU HVYO WATU WENG WALITAMANI KUHUDHURIA HVYO MICHANGO LAZIMA IWE MINGI TENA YA KIWANGO KIKUBWA.

PIA KUNA WADHAMINI KAMA DSTV NA TIGO.

KWA HYO NI SUALA LA CONECTION.
 
Sherehe standard ya watu 50 tu inatosha... marafiki kama 30 ndugu 20 tosha sana.

Unatumia hela kidogo nyingine wekeza...tuacheni ulimbukeni
 
Jambo la kushangaza ni kuwa unakuta familia inatamani kufanya harusi ya gharama za milioni kumi ilhali wao wanachangia milioni moja. Hebu fikiria mtu ana shilingi mia tano, anakuomba umuongezee elfu mbili ili anunue bia, utamwelewa kweli?
Hahaaa, huu mfano wako unaudhi japo ni kweli 100!
 
habari wadau..

hivi wasomi wa kuajiriwa taasisi za uma na private sector.. kipato chao hakiruhusu kufanya harusi za ukweli.. kama ambao hawajaenda shule kina joti wanavyozifanya...

je ni vipato vidogo au network zao..

maana harusi za wafanyabiashara na wasanii zinakuwa za ukweli.

usawa wa magu huu.. nikiicheki harusi za hawa watu mpaka wananitisha
WW unakazi gani kwani?
 
Sichangii harusi katu, nachangia wagonjwa na wenye shida mblmbl
 
Ujinga. Pambana na hali yako.

Harusi ya mwenzio inakutisha nini sasa.

Mitanzania mijinga sana.
 
wengi tunategemea tununue magari na kiwanja kupitia michango yenu jamani
 
Yani hata mi sielewi huwa wanapataje hayo mahela?
mfano hapa mtaani kuna familia ya kawaida tu..sio wa kipato kikubwa..walifanya vikao vya sendoff ..nashangaa ndan ya mwez mmoja tunaletewa kadi ati inafanyika sijui ndani ya serena..wengine hyatt!
ni sherehe ya kufuru..ukipiga hesabu ni zaod ya milion 20 zimetumika...
watu wana hela bado!
Ma harusi wanakuwa wamejioanga, inawezekana jiwe la Mirerami au box la ughaibuni. Mjini Luna mambo mengi
 
MKUU, USIONE VYAELEA VIMEUNDWA

NDOA YA JOTI HUENDA JOTI MWENYEWE HAJATOA HATA SENTI 1.

YULE NI MTU MAARUFU HVYO WATU WENG WALITAMANI KUHUDHURIA HVYO MICHANGO LAZIMA IWE MINGI TENA YA KIWANGO KIKUBWA.

PIA KUNA WADHAMINI KAMA DSTV NA TIGO.

KWA HYO NI SUALA LA CONECTION.
Si ajabu ni watu wa nne tu wamechanga milioni tano kila mtu
 
Tanzania ni Kama ka nchi kamoja ulaya kanaitwa Romania ni ka nchi maskini probably kanashikilia mkia ulaya lakini ikija Mambo ya Harusi hawa jamaa hawana mchezo, Bibi Harusi kushuka na ma helkopta au private jets Mambo ya kawaida kabisa.
 
Milioni 100 watuvwenyewe walishazalishana kitambo
watu kwa mbwembwe utwaweza....hivi ukiamua kufanya harusi yako hata nyumbani mnaweka vinywaji vya kipa aina kwa idad yenu ndugu mia.chakula cha idadi yenu..mziki mdogo
mtapungukiwa kitu huko ndani ya maisha ya ndoa?
mnaogopa kuonekana maskini?
watu siku hz uchumba mpk miaka 5 kisa bado hajajichanga kwa ajili ya harusi
cha muhimu ni kipi..ndoa kufunga madhabahuni au kuserebuka ukumbini mle had msaze??
 
Back
Top Bottom