Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam walishadaka chao cha airtime kinatosha hata wasipotajwa.Ingawa walitajwa na kuitwa sana tuDSTV wamempa maneno KIBONDE,SI kwa kuwataja huko,kwenye zawadi maalum Azam sikuwaona wala kuitwa kwa namna ya pekee.
Heheh alafu unapangiwa kabisa na kiasi cha kutoa,utasikia alfu 50 double,thalathini singoJambo la kushangaza ni kuwa unakuta familia inatamani kufanya harusi ya gharama za milioni kumi ilhali wao wanachangia milioni moja. Hebu fikiria mtu ana shilingi mia tano, anakuomba umuongezee elfu mbili ili anunue bia, utamwelewa kweli?
hukufatilia nimeona wameitwa azam wamepewa zawadi wasiwataje tena waliowarusha??DSTV wamempa maneno KIBONDE,SI kwa kuwataja huko,kwenye zawadi maalum Azam sikuwaona wala kuitwa kwa namna ya pekee.
kuchanga lazima wewe vp??? au ndio wale wa vijijini nyinyi kwanza inaleta umoja na undugunaizationBasi una lako jambo
nyie ndo wale ambao mna lawama mwisho wa siku mseme kama sio nyie kuchangia harus isingefanyika
michango yenye lawama
Hahaaa, huu mfano wako unaudhi japo ni kweli 100!Jambo la kushangaza ni kuwa unakuta familia inatamani kufanya harusi ya gharama za milioni kumi ilhali wao wanachangia milioni moja. Hebu fikiria mtu ana shilingi mia tano, anakuomba umuongezee elfu mbili ili anunue bia, utamwelewa kweli?
WW unakazi gani kwani?habari wadau..
hivi wasomi wa kuajiriwa taasisi za uma na private sector.. kipato chao hakiruhusu kufanya harusi za ukweli.. kama ambao hawajaenda shule kina joti wanavyozifanya...
je ni vipato vidogo au network zao..
maana harusi za wafanyabiashara na wasanii zinakuwa za ukweli.
usawa wa magu huu.. nikiicheki harusi za hawa watu mpaka wananitisha
Ma harusi wanakuwa wamejioanga, inawezekana jiwe la Mirerami au box la ughaibuni. Mjini Luna mambo mengiYani hata mi sielewi huwa wanapataje hayo mahela?
mfano hapa mtaani kuna familia ya kawaida tu..sio wa kipato kikubwa..walifanya vikao vya sendoff ..nashangaa ndan ya mwez mmoja tunaletewa kadi ati inafanyika sijui ndani ya serena..wengine hyatt!
ni sherehe ya kufuru..ukipiga hesabu ni zaod ya milion 20 zimetumika...
watu wana hela bado!
Si ajabu ni watu wa nne tu wamechanga milioni tano kila mtuMKUU, USIONE VYAELEA VIMEUNDWA
NDOA YA JOTI HUENDA JOTI MWENYEWE HAJATOA HATA SENTI 1.
YULE NI MTU MAARUFU HVYO WATU WENG WALITAMANI KUHUDHURIA HVYO MICHANGO LAZIMA IWE MINGI TENA YA KIWANGO KIKUBWA.
PIA KUNA WADHAMINI KAMA DSTV NA TIGO.
KWA HYO NI SUALA LA CONECTION.
Milioni 100 watuvwenyewe walishazalishana kitambojoti ni maarufu..na kasambaza kad za mvhango mwez wa nane..
watu kwa mbwembwe utwaweza....hivi ukiamua kufanya harusi yako hata nyumbani mnaweka vinywaji vya kipa aina kwa idad yenu ndugu mia.chakula cha idadi yenu..mziki mdogoMilioni 100 watuvwenyewe walishazalishana kitambo