comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Nmepita pita kwenye mtandao nimekutana na picha za sherehe ya HARUSI ya kuolewa kwa BINTI ya muheshmiwa Rais wa Zanzibar Ndugu Hussein Mwinyi.
Nmepatwa kiu ya kujua huyu mshaikaji aliepata hii Bahati, na naskia jamaa NI mmasai wa Arusha na NI Mkristo sasa sijajua Nani kabadilisha dini hapo, wataalamu wa mambo wazee wa kuchimbua taarifa mbalimbali leteni majibu.
Naskia shehere ilihudhuruiwa na Mawaziri wengi Sana wa bara na visiwani, pamoja na Babamkwe (Raisi wa Zanzibar) baadhi ya wageni alikuwepo mama Samia
Huyo dogo nadhani hata yeye kwao mambo yatakuja sio mabaya atakua wa kishua, hivi wanakutania wapi na hawa watoto wa Marais? Huyu jamaa anabahati sana, naskia sherehe ilihudhuriwa na watu zaidi ya 2500 na wengi viongozi wa serikali.