Harusi ya kuolewa Binti wa Rais Hussein Mwinyi

Harusi ya kuolewa Binti wa Rais Hussein Mwinyi

Nasikia mahari kaambiwa achana nayo tu
Sasa kwa Raisi Mwinyi mahari utapeleka bei gani maana hela zipo za babu wa binti na zake pia.

Kuna mahari ya kusema utamridhisha yeye kweli ili anakukabidhi binti yake kweli? Ole wako mtoto alalamike kwa baba yake kuwa unamtesa uone atakavyorudishwa kwao chap chap bila maswali.

Sema nini ukioa kwenye royal family unakuwa umetoka kimaisha tayari, hapo jamaa si muda mrefu analamba teuzi anaanza kutembelea LC300 🤣 yani lazma awekwe kitengo kizuri ili ampatie binti kila atakacho kwenye maisha ili asione tofauti yeyote na nyumbani kwao.
 
Back
Top Bottom