Harusi ya Mtanzania na Mwingereza

Harusi ya Mtanzania na Mwingereza

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
View attachment 14337
Harusi imefanyilka jana ktk mji wa Lincoln, Uk.......Bwana harusi ni 70 kg na Bi harusi ni 280kg

attachment.php
 
Attachments

  • harusi.jpg
    harusi.jpg
    54.4 KB · Views: 778
Bwabwa, mbona umetutumia invalid attachment?
Imegoma kufunguka.
jamani bujibujiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......hapo vipi?????...........hapo poa!
 
wedding was held in last sunday...
Lakini jamani huyu mbongo mwenzetu yuko hatarini, pindi hili jimama likija kumlalia linaweza kumtoa roho, na kibaya zaidi ana phd, elimu yake itakuwa imepotea bure
 
Itakuwa ni 280 lbs bwana,equivalent to almost 140 kg (my guess),ndo maana anaonekana si kiviilee.ila sasa huo ni unyanyapaa bwabwa,kila mtu ana interests zake bwana,mwacheni jamaa aji-enjoy!
 
Bwabwa, mbona umetutumia invalid attachment?
Imegoma kufunguka.
Uki-place cursor kwenye picha tu inaonekana meanwhile,dont click.
afu uache ugomvi BB,hilo jina alishaliacha manake lilikuwa linaleta kichefuchefu kwa baadhi ya wadau..
 
Uki-place cursor kwenye picha tu inaonekana meanwhile,dont click.
afu uache ugomvi BB,hilo jina alishaliacha manake lilikuwa linaleta kichefuchefu kwa baadhi ya wadau..
mkuu asante sana kwa kunitetea...........bujibuji ni mchimvi
 
Hahah haha ahahaaaaaa.
Likimlalia mbongo linakutana na msumari wa moto.
wedding was held in last sunday...
Lakini jamani huyu mbongo mwenzetu yuko hatarini, pindi hili jimama likija kumlalia linaweza kumtoa roho, na kibaya zaidi ana phd, elimu yake itakuwa imepotea bure
 
hii itakuwa mambo yetu yale ya makaratasi lakini jamaa kama ana PhD mbona popote tu inamtoa
 
wedding was held in last sunday...
Lakini jamani huyu mbongo mwenzetu yuko hatarini, pindi hili jimama likija kumlalia linaweza kumtoa roho, na kibaya zaidi ana phd, elimu yake itakuwa imepotea bure

Aah wapi anafanyiwa shughuli pila kipingamizi. Tena ukimkuta utafikiri mtoto mdogo. Mpaka wafikie hapo ujue jamaa alishafikisha ujumbe kunako. Usiogope mama wifi yako ni mwepesi tu kwa huyu jamaa yako
 
Wabongo ambao wana wake au mademu UK ninaweza kuwagawanya katika makundi mawili;
Kundi la kwanza nila wale wanene kupita kiasi wengine unaweza kudhania karibia labor.
Kundi la pili ni wazee wengine wana umri kumzidi hata mama zao.

Kitu ambacho ninakuwaga nina jiuliza kuna wasichana weusi wazuri kibao mitaani nini kinachowafanya kwenda kutoka na wazee ua mademu ambao ni obese?
 
Wabongo ambao wana wake au mademu UK ninaweza kuwagawanya katika makundi mawili;
Kundi la kwanza nila wale wanene kupita kiasi wengine unaweza kudhania karibia labor.
Kundi la pili ni wazee wengine wana umri kumzidi hata mama zao.

Kitu ambacho ninakuwaga ninajiuliza kuna wasichana weusi wazuri kibao mitaani nini kinachowafanya kwenda kutoka na wazee ua mademu ambao ni obese?

.....Makaratasi mkulu!!!
 
Mpeni hongera bana.... Kuoa wakubwa si mchezo hata ukioa kichaa hatua moja kubwa sana umepiga. Hongera broda
 
.....Makaratasi mkulu!!!
Home office wameka mazingira magumu kutoka na watu wengi huko nyuma wali abuse sana.Ukioa au ukiolewa na mtu ambaye anayo wanakupa miaka mitatu ikisha hiyo mitatu wanaweza kukuongezea tena mitatu na uwezekano wa hili ni mkubwa kwa sababu awa wanene na wazee wengi wao wanakinga(on the dole) ama wanafanya kazi za mishahara midogo na wewe kama ndiyo unabeba box, mitatu mingine hauwezi kuepuka.Sasa ikatokea hapo katika mambo yakakushinda makaachana haupati kitu.

Wengi wao wanajua uwezekano wa kupata makarasi ni mdogo kwa hali ilivyo sasa hivi lakini wapo tu.Sasa sijui wanatoka nao kwa sababu ni wazungu?Kuna wengine ninakuwa nina waona ninajiuliza, kwa huo unene au umri wangelikuwa ni mweusi sijui kama wangeweza hata kufunguwa mdomo kutongoza.
 
Inasikitisha kuona watu, wengine wanaume wazima (afadhali hata sisters unaweza kusema wanatetea maslahi yao katika kutaka kuolewa) wanamsema vibaya mtu mume mwenzao kwenye ndoa yake kwa specualations na umbea. Kila mtu na maisha yake, haya mambo mengine ni ufinyu wa mawazo tu. Kama wameoana kwa hili, au lile ni mambo yao wawili, uchimvi mwingi unakuwa umbeya tu. Mauritania huko mwanamke asipokuwa mnene hapati mume, wanawake wanashindana unene. Sasa kama mazee ndiyo mapigo yake mnataka kumlazimisha types asizozitaka ?

Mnataka kupangia watu kuoa sasa? Ndiyo maana wengine hatuoi, usipooa mineno, ukioa mineno, basi tabu tupu.

Wanaume wazima mnamsema mwenzenu kaoa mlitaka awaoe nyie? Huyo boflo tunamjua, na nyie wengine je ?

Mimi sijui hii ndoa imepitia mambo gani, wamesaidiana vipi, wamependana vipi mpaka kufikia sakrameti hii takatifu, kwa hiyo naona jambo la kheri tu.Mwacheni mtu katika maisha yake, mimi ninamtakia kheri katika ndoa yake tu. Uungwana hauuzwi dukani.

Type zingine hapa zinaweza hata kupekua garbage kuangalia kama mmekula kizuri au kibaya. Hatari.
 
Hongera Maarusi.. ingekuwa poa kama mngetupa majina yao... Inaonyesha bibi harusi ni mjamzito??? natabiri..
 
Back
Top Bottom