Harusi ya Mtanzania na Mwingereza

Harusi ya Mtanzania na Mwingereza

Na ambaye hana ndugu mnene awe wa kwanza kunyoosha mkono. Sisi binadamu wakati mwingine tuna mambo ya ajabu sana mtu asipooa mnamuita mhuni, akiooa mnaanza kumsema kuwa kaoa kwa sababu hii na ile ebo sasa mnataka afanye nini?
 
Wembamba wa RELI bwana, utashangaa matani na matani yanapita kila siku na Kireli kipo tu.

Utashangaa ukiona picha ambayo jamaa kambeba mamaa Akiingia naye ndani ya nyumba kwa mara ya kwanza.

Anzia 1:41 na utasikia "Maga Man anapenda wanawake wa aina gani na Kibonge mama anapenda Mwanamume wa aina gani". Ukisikiliza wimbo huo, utajua kuwa jamaa kwa kweli WAME-MECHI.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo ni mtindo ka ukaaji?? heehhehe makaratasi na kitabu chekundu damu ya mzee mzima!! heehhheehe
 
"Ukioa mzungu hata kichaa unakuwa wa maana sana"...I can not believe kuwa bado watu wana akili hizi 2010. Wengine wanaona bira awe mbwa Ulaya kuliko kuwa binadamu Tanzania.
 
wedding was held in last sunday...
Lakini jamani huyu mbongo mwenzetu yuko hatarini, pindi hili jimama likija kumlalia linaweza kumtoa roho, na kibaya zaidi ana phd, elimu yake itakuwa imepotea bure

"Ukipenda boga penda na ua lake"
 
bwana harusi ana kg 70 na bi harusi kg280 so what ?
 
Inasikitisha kuona watu, wengine wanaume wazima (afadhali hata sisters unaweza kusema wanatetea maslahi yao katika kutaka kuolewa) wanamsema vibaya mtu mume mwenzao kwenye ndoa yake kwa specualations na umbea. Kila mtu na maisha yake, haya mambo mengine ni ufinyu wa mawazo tu. Kama wameoana kwa hili, au lile ni mambo yao wawili, uchimvi mwingi unakuwa umbeya tu. Mauritania huko mwanamke asipokuwa mnene hapati mume, wanawake wanashindana unene. Sasa kama mazee ndiyo mapigo yake mnataka kumlazimisha types asizozitaka ?

Mnataka kupangia watu kuoa sasa? Ndiyo maana wengine hatuoi, usipooa mineno, ukioa mineno, basi tabu tupu.

Wanaume wazima mnamsema mwenzenu kaoa mlitaka awaoe nyie? Huyo boflo tunamjua, na nyie wengine je ?

Mimi sijui hii ndoa imepitia mambo gani, wamesaidiana vipi, wamependana vipi mpaka kufikia sakrameti hii takatifu, kwa hiyo naona jambo la kheri tu.Mwacheni mtu katika maisha yake, mimi ninamtakia kheri katika ndoa yake tu. Uungwana hauuzwi dukani.

Type zingine hapa zinaweza hata kupekua garbage kuangalia kama mmekula kizuri au kibaya. Hatari.

well said bros..second that
 
Kiranga unikome na unitue, unanijua???....umenijulia wapi???????
 
Halafu tusisahau kuwa Mtz halisi anapendelea "Miss Bantu", siyo "English figure". Huyu anadumisha utamaduni hata kama yuko UK. Hongera mshikaji.
 
View attachment 14337
Bi harusi ni 280kg

attachment.php

Lazima wawe na spea za chaga
 
Wala sioni tatizo la hii ndoa! nice pic and have a wonderful future ahead of you.
 
Kiranga unikome na unitue, unanijua???....umenijulia wapi???????
wewe bwabwa usharudia tabia mbaya eeh??maana hivi vineno ni kama vile umetiwa dole la m.a.t.ako.:A S 112:
 
Aah wapi anafanyiwa shughuli pila kipingamizi. Tena ukimkuta utafikiri mtoto mdogo. Mpaka wafikie hapo ujue jamaa alishafikisha ujumbe kunako. Usiogope mama wifi yako ni mwepesi tu kwa huyu jamaa yako
..Teh! teeeh!! najaribu ku-imagine jamaa anapokuwa chimbo unaweza kukuta bibi harusi anakuwa mdogo na mwepesi kama unyoya maushirikiano ya kufa mtu...Uzito nini bana??!!:tonguez:
 
Back
Top Bottom