Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Kapo pendwa kunako Bongo Fleva, Billnass au Nenga na Nandy ‘The African Princess’ wanatarajia kufunga ndoa Juni 25, mwaka huu.

Hiyo ni kwa mujibu wa Baba wa Nandy, Charles Mfinanga alipokuwa akizungumza mara baada ya hapo jana Billnass kumvisha Nandy pete ya uchumba.

Utakumbuka hiyo ni mara ya pili kwa wawili hao kufanya hivyo, mara ya kwanza ilikuwa Aprili, 2020.

Hadi sasa katika muziki Nandy na Billnass wamefanikiwa kutoa nyimbo tatu pamoja, Bugana, Do Me na Party.

Nandy.jpg

 
Mapenzi bwana mnaeza mkadumu kwenye uchumba miaka hata saba ila kwenye ndoa mwaka mmoja visa kibao na ni mara chache sana ndoa za wasanii kwa wasanii kudumu ila mungu awatangulie.
 
Back
Top Bottom