balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Niko serious mkuu,nataman siku moja Nile walau chakula naye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko serious mkuu,nataman siku moja Nile walau chakula naye
2027 Insh Allah tukiwa hai mama, maana uhai siyo rafiki wa kudum teena saa yeyote unatoroka.Yaani usijali. Baada ya miaka 5 nitafute
Hahahahah funguka Nenga akuachie mzee babaKwangu Mimi Sasa,kwa taarifa yako Nandy ni zaidi ya Yeyote,hata huyo Cleopatra hamfikii Nandy.Yaani Nandy dah basi tu,sitakagi hata kumuwaza maana naumia Sana. Ni mwanamke wa moyo wangu.
Tunaisubiri labda bado haijafika ukichanganya na akili za yule mwenyekiti wao [emoji16][emoji16]
Nadhani mwaka kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaisubiri labda bado haijafika ukichanganya na akili za yule mwenyekiti wao [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani mwaka kesho
Hata millard ayo Hana picha jamanAu wamefunga kimya kimya hatujui?